LHRC waguswa na kilichowapata Zitto na wenzake
Mei 30 2016 Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge iliwatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudharau madaraka ya bunge ambapo wabunge Easther Bulaya na Tundu Lissu…
VIDEO: Mgomo wa Wanachuo UDSM May 31 na alichoongea makamu mkuu wa chuo
Ni Mei 31, 2016 ambapo Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameingia kwenye headlines za kufanya mgomo wa kudai fedha za kujikimu katika matumizi yao ya kila siku,…
#VIDEO: Kwa mara ya kwanza Vanessa Mdee kaongea kuhusu beef na Shilole
Baada ya kuwepo kwa taarifa zilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana beef, ukweli umejulikana, OnAIRwithMillardAyo imempata Vanessa amezungumzia beef hiyo’……. >>>’Shilole alikuwa ameongea kwamba ni mrembo…
PICHA 12: kutoka kwenye Utoaji tuzo za Rais kwa wazalishaji bora viwandani 2015
May 31 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli alialikwa katika hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa Viwandani kwa mwaka 2015 leo Jijini…
PICHA 6:Kutoka kwenye Mgomo wa Wanafunzi Chuo Kikuu cha UDSM…
Ni Mei 31, 2016 ambapo Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameingia kwenye headlines za kufanya mgomo wakishinikiza bodi ya mikopo iwape fedha za kujikimu. Hizi ni baadhi…
Mke wa trafiki adaiwa kukiri kumuua mumewe, ataja hii sababu
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini. Moja ya story kubwa…
Wizara ya Mambo ya Nje imeomba kutengewa Shilingi Bilion 151 kama bajeti yake ijayo
Nakukutanisha na headlines za bungeni Dodoma ambapo leo May 31 2016 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kikanda na Kimataifa kupitia kwa Waziri wake Augustine Maige…
Wabunge wa Upinzani wametoka nje ya bunge kuonyesha kutokuwa na imani na Naibu Spika Tulia Ackson
May 31 2016 headlines za bunge bado zinaendelea kuchukua nafasi kutokea Dodoma, taarifa mpya ni hii ya Wabunge wa upinzani kususia vikao vinavyoendelea ikiwa ni kuinyesha kutokuwa na imani na…
VIDEO: Mume wa dada wa bilionea Msuya atiwa mbaroni, Maalim Seif uso kwa uso na polisi
AyoTV kila siku asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania ambapo Alice Tupa ndio ataifanya hii kazi kuhakikisha unapata habari zote kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania yenye hardnews, michezo na udaku vilevile… bonyeza…
Tamko la ACT Wazalendo baada ya wabunge wa upinzani kufungiwa
Baada ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudharau madaraka ya bunge ambapo wabunge Easther Bulaya na Tundu Lissu wameadhibiwa…