Ajali aliyoipata Msanii Tunda Man Iringa April 17,Haya ni maelezo ya mwanzo(+Picha&Audio)..
Kama ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakua umekutana na taarifa inayomhusisha Tunda Man kupata ajali akiwa Mkoani iringa Asubuhi ya April 17 millardayo.com imempata Tunda Man mwenyewe na amekubali…
Picha 16 za Mbunge Professor Jay na watu wake wa Mikumi kata ya Ruaha April 16 2016
April 16, 2016 Mbunge wa jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Mh. Joseph Haule aka Professor Jay alifanya mkutano wa kuwashukuru Wananchi wake wa kata ya Ruaha kwa kumchagua kuwa mbunge lakini pia…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 17 2016 kwenye, Hardnews na michezo
April 17 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Picha13: Harmonize alivyotoa Burudani ya nguvu kwa watu wa Mwanza kwa mara ya kwanza
Usiku wa April 16, 2016, watu wangu wa Mwanza kwa mara ya kwanza kwenye stage Harmonize alikutana na watu wake kwenye shangwe na zile hits zake za Bado, Aiyola na…
VIDEO: Magoli ya Yanga vs Mtibwa Sugar April 16 2016, Full Time 1-0
April 16 2016 klabu ya Yanga ilicheza mchezo wake wa mwisho wa kiporo kati ya mitatu dhidi ya klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani, Yanga ilifanikiwa kuibuka na ushindi…
VIDEO: Kwa mara ya kwanza Samatta kacheza dakika 90 akiwa na KRC Genk na kapachika goli hili
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta April 16 2016 alipata nafasi ya kuanza na kucheza mechi kwa dakika 90 kwa mara ya kwanza akiwa na KRC Genk…
VIDEO: Barabara za juu kuanza kutumika Dar, Rais Magufuli Kauzindua mradi wake leo
April 16 2016 Rais John Pombe Magufuli amefanya uzinduzi wa mradi wa barabara ya juu ‘Flyover’ Dar es salaam, barabara inayotarajiwa kuanza kufanya kazi mwaka 2018. Lengo likiwa ni kupunguza…
Hat Trick ya Sergio Aguero imeifanya Manchester City kuondoka na point 3 darajani..
April 16 2016 kuliendelea michezo kadhaa katika ligi Kuu ya Uingereza michezo ambayo ilipigwa katika viwanja sita tofauti Uingereza, klabu ya Chelsea walikuwa wenyeji wa Manchester city, Mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Stanford Bridge…
Picha 15: Mvua ya Dar zilivyompeleka RC Makonda Jangwani leo
Dar es salaam imekuwa moja ya majiji yanayosumbuliwa na kero za mafuriko haswa katika kipindi cha mvua, ni siku kadhaatu baadhi ya watu walilazimika kuhamishwa katika maeneo yao ya makazi…
Ushindi wa Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar umeirudisha kileleni (+Pichaz)
Baada ya malalamiko ya muda mrefu kuhusu klabu ya Dar es Salaam Young Africans kuwa na viporo vingi, hatimae April 16 2016 wamemaliza michezo yao ya viporo kwa ushindi wa…