Ulisikia stori za Ibrahimovic kujiunga na Arsenal? Wenger katoa majibu kwenye hii video
March 18 baadhi ya mitandao ya soka barani Ulaya iliandika stori kuhusu mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden anayeichezea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic kuwa yupo katika…
Ajali ya Ndege ya FlyDubai ilivyoua watu zaidi ya 60
Kwenye Vyombo vya habari vya Kimataifa, habari inayomake headline ni kuhusiana na ajali ya Ndege iliyotokea mapema leo. Ndege ya FlyDubai ambayo ilikuwa ikitokea Dubai na watu 62 imeapata ajali wakati…
Neymar kakutwa na hatia ya ukwepaji kodi, hukumu yake je?
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil anayekipiga katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar bado yupo kwenye headlines za ukwepaji kodi, kama ambavyo zilivyokuwa zinawakabili mastaa wenzake wa FC Barcelona…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 19 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 19 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Video: Mastaa wa Bongo walivyoiandaa hii party kwaajili ya Paul Makonda
March 13 2016 Rais John Pombe Magufuli aliwateuwa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania na baadhi ya wakuu hao ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, March…
video: Yaliyonifikia kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani kitengo cha Uhamiaji
Wizara mbalimbali za Serikali hii ya awamu ya tano zinazidi kuingia kwenye headline, ikiwa ni siku kadhaa zimepita baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga kuagiza…
Hii ni mpya kutoka kwa Kid Ink ‘Promise’ feat Fetty Wap (+Video)
Msanii wa R&B Kid Ink ameingia kwenye headlines, baada ya kudondosha audio ya ‘Promise’ wimbo aliomshirikisha Fetty Wap mwaka jana, msanii huyo wa R&B amerudi kutuletea offical video ya wimbo huo. https://www.youtube.com/watch?v=DE1NciB_gEU Unataka kutumiwa…
Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam ikiwemo aliyoshiriki Justin Bieber…. +TRAILER ziko hapa
Zoolander 2 ndiyo movie mpya itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali ambayo ameshiriki staa Justin Bieber, kama vipi ungana na dunia nzima na wewe ukaangalie movie hii. Cheki…
Nyingine mpya kutoka kwa Makonda, Milioni moja kwa Polisi..(+Video)
Leo March 18 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekutana na Kamanda wa Polisi kanda maalum Simon Sirro pamoja na Askari Polisi kwa lengo la kujionea mwenendo wa…
Bongo Sasa Mwanafunzi anaweza kujisomea hata kwa SMS
Kwa miaka kadha Serikali na wadau mbalimbali wa Elimu wamekuwa wakitafuta namna ya kuikwamua Elimu ya Tanzania kutokana na kuwepo kwa ufaulu usioridhisha kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari. Hapa leo…