Ratiba ya soka kuanzia Tanzania hadi Ubelgiji kwa Samatta, hizi sio mechi za kukosa weekend hii …
Weekend ya February 13 na 14 ni siku ambazo burudani ya soka itaendelea kama kawaida, kuanzia bongo hadi Ulaya, kwa upande wa Tanzania katika Ligi Kuu bara kutachezwa jumla ya…
Maneno 25 ya kauli ya Simba kuhusu kesi ya Mwinyi Kazimoto kumpiga Mwandishi wa habari
February 10 stori za kiungo wa Simba Mwinyi Kazimoto kutuhumiwa kumpiga mwandishi wa habari wa gazeti la MwanaSpoti Mwanahiba Richard zilichukua nafasi ambapo aliripotiwa kushitakiwa na mwandishi huyo katika kituo kikuu cha polisi…
Mabibi na mabwana… Diamond Platnumz & AKA wametuletea video yao mpya ‘Make me Sing’
Muunganiko wa ladha mbili tokea nchi tofauti umekamilika kwa kuwakutanisha mastaa Diamond Platnumz na AKA kutokea Afrika Kusini kisha kuuleta huu mdundo wa 'Make me Sing', tazama video yenyewe hapa chini kisha…
Pichaz 10 za maandalizi ya mwisho ya Simba kuivaa Stand United ambayo imekimbia mji
Klabu ya Simba Jumamosi ya February 13 itashuka katika uwanja wa Kambarage Shinyanga kucheza mchezo wake wa 19 wa Ligi Kuu dhidi ya klabu ya Simba, Simba ipo Shinyanga na itacheza…
Aunty Ezekiel ataja aliowahi kugombana nao na kusema ‘Kugombana ni kawaida ila tusamehe…’
Ni wengi ambao wamegombana na hawazungumzi bado mpaka sasa hivi wala hawajawahi kuwaza kupatana, Mwigizaji Aunty Ezekiel anasema kugombana kwenye maisha ni kitu cha kawaida ila msamaha ni muhimu na…
Shuhuda wa Pantoni la Kigamboni na sentensi zake injini ilivyozima katikati ya maji…(+Audio)
Asubuhi ya Feb 11 2016 Taarifa zilizomake headline ilikuwa ni tukio la Pantoni la Kigamboni kuzima injini kabla ya kumaliza safari yake, ripota wa millardayo.com akaamua kufunga safari hadi eneo…
Licha ya stori nyingi kuandikwa, Louis van Gaal anaamini hivi kuhusu stori za Mourinho kutua Man United …
Licha ya stori nyingi kuandikwa kwa namna tofauti kuhusu Jose Mournho, lakini ukweli au lengo na maana ya hizo habari nyingi huwa ni kuhusu Jose Mourinho kuchukua nafasi ya Louis…
Tambo za mastaa…. Davido anasema bei ya saa zake ni foleni ya magari
Ukiambiwa utaje wasanii ambao wanafanya vizuri time hii kwa Afrika jina la Davido halikosekani, ni staa ambaye kwa sasa anamiliki mdundo wake aliomshirikisha Olamide 'The money'. Kwenye maswali ya mashabiki kwenye mtandao…
Zilikupita hizi? Ajali ya basi Tanga iliyoua 13, Mwanaume aliyeishi kwa moyo wa bandia..?
Kama ulipitwa na hizi taarifa mbili kubwa zilimake headline Feb 11 2016 katika mitandao mbalimbali ya kijamii na hata kupata Airtime kwenye Amplifaya ya Clouds fm, Kuna hii ya ajali…
Wiki moja baada ya Chui kuvamia shule ya Bweni, Tembo nae kaingia mtaani na kuharibu mali za watu India (+Video)
Ikiwa imepita wiki moja tangu Chui aingie ndani ya majengo ya Shule ya Bweni kwenye mji wa Bangalore hii ni nyingine kali kutokea kwenye mji huu mtu wangu wa nguvu…