Video ya magoli na matukio ya mchezo wa Yanga Vs Ndanda FC, Full Time 1-0 …
January 17 klabu ya Dar Es Salaam Young African iliikaribisha klabu ya Ndanda FC ya Mtwara wana kuchele katika dimba la uwanja wa taifa Dar Es Salaam, kucheza mchezo wake…
FC Barcelona yaendeleza ubabe, Bilbao wamekutana na kipigo hiki (+Pichaz&Video)
Michezo ya Ligi Kuu Hispania imeendelea tena January 17 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini humo, wakati Real Madrid wakitembeza kichapo cha goli 5-1 dhidi ya Sporting Gijon…
VIDEO: Mbunge wa Segerea, Flaviana Matata walivyoguswa na sera ya Rais Magufuli
Jan 17 2016 Mbunge wa Segerea, Dar es salaam Bonnah Kaluwa aliungana na Mwanamitindo wa kimataifa Mtanzania Flaviana Matata mara baada ya kuliona tatizo la wanafunzi mashuleni, na haya ndiyo waliyoyaamua.…
Yanga yafanikiwa kuiadhibu Ndanda FC kwa mkwaju wa penati (+Pichaz)
Baada ya klabu ya Azam FC inayoshindana kwa karibu na klabu ya Dar Es Salaam Young Africans kuwania nafasi ya kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi kutoa sare ya 1-1…
VIDEO: Waziri Nape alivyotangaza kulifuta gazeti la ‘MAWIO’
Leo Jan 17 2016 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye alikutana na waandishi wa habari Dar na kutangaza maamuzi ya Serikali kulifuta gazeti la Mawio, stori…
Kama umemiss home kwenu Shinyanga, basi acha leo ni kukumbushe…(+Pichaz)
Ni sehemu ambayo imebarikiwa ukarimu kwa watu wake, japo kuna makabila mengi lakini kabila la watu wangu Wasukumu wapo kila kona 87.1 Shinyanga, mkoa ambao pamoja na kuwepo kwa usafiri…
Hapa ndipo Yanga na Haruna Niyonzima walipofikia, kuhusu zile stori za kuvunjwa mkataba …
Baada ya uongozi wa klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza kuwa imevunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima, January 17 kiungo huyo akiwa katika makao…
Ugonjwa wa cancer wamzidishia majonzi Celine Dion, baada ya kupoteza mume kafatia kaka yake..
Kwa muda mrefu huenda hujamsikia mkali wa muziki na mkongwe mwenye Tuzo na heshima nyingi duniani, Celine Dion... lakini kwenye vilivyokuwa vinaendelea nyuma ya pazia kwenye ukimya wake iko ishu…
Picha sita + video ya bibi wa miaka 54 aliyeingia kwenye headlines za kuusaka umiss Uingereza
Uingereza kuna mashindano ya urembo yamepewa jina la Miss Galaxy, unaambiwa bibi mmoja Amanda Booth kaona hata asipitwe na hii, na yeye kaingia kama mmoja ya wanaosaka Taji hilo japo umri…
Top 10 news kutoka Magazetini >> makontena, wafungwa waliotoroka, silaha bandarini na mengine
Ni Jumamosi January 17 2016, kila siku kuanzia saa 12 asubuhi nakusogezea tweets za stori kubwa kwenye magazeti ya Tanzania, hapa ninazo 10 zenye nukuu za uzito zaidi kutoka kwenye kurasa…