Video ya Diamond alivyojitokeza mbele ya watu wake maeneo ya Karume sokoni Dar
Diamond Platnumz alijitokeza mbele ya fans December 22 2015 ikiwa ni siku chache zimebaki ili akafanye show ya Xmas Dar Live Mbagala na kwa mara ya kwanza ataonyesha kazi kwenye…
Kama watatengeneza ndege kama hii, basi ajali ikitokea inawezekana abiria wakaokolewa wote
Wanasema usafiri wa ndege ni usafiri salama zaidi duniani.... kwenye hii jamaa wamewaza ni jinsi gani abiria wanaweza kutolewa kwenye ndege bila shida... kwenye hii video hapa chini utaweza kujionea…
Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …
Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi…
Picha 18 za Mbunge Professor Jay na watu wake wa Mikumi Morogoro December 22
Dec 22, 2015 Mbunge wa jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Mh. Joseph Haule aka Professor Jay kwa ruhusa ya CHADEMA amefanya mkutano wa kuwashukuru Wananchi wake kwa kumchagua kuwa mbunge wa…
Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …
Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man…
Ninayo ripoti ya Rais Magufuli alivyothibitisha kumsimamisha Mkurugenzi shirika la reli
Siku ya December 22 2015 inanifikia ripoti nyingine inayohusiana na maamuzi ya Rais John Magufuli Ikulu Dar es Salaam. Ripoti yenyewe inahusu kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hodhi…
Good News: Rock City Mall imekamilika, hizi ndio sifa zake kubwa usizozijua…(+Audio)
Kwa mara nyingine tena nakusogezea stori kutokea Mwanza kuhusiana na jengo jipya la Rock City Mall ambalomiezi kadhaa iliyopita lilianza kuchukua headlines baada ya kuonekana ndio Shopping Mall kubwa kuwahi kujengwa katika…
Tajikistan nako shamrashamra za Christmas ni marufuku vyuoni..!!
Tajikistan ni moja ya nchi ambazo ziko bara la Asia, kilichoteka vichwa vya habari sasahivi ni ishu ya 'MARUFUKU' iliyopigwa kuhusiana na shamrashamra za sikukuu za Christmas siku chache zijazo.…
Headlines 10 za magazeti ya Ulaya, kabla ya Jose Mourinho kufukuzwa Chelsea …
Ikiwa ni siku tano zimepita toka uongozi wa bodi ya Chelsea utangaze kumfuta kazi aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Jose Mourinho, mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee headlines 10…
Pesa ya China inaruhusiwa kutumika Zimbabwe? Kilichonifikia ni hiki..
Kwa kipindi kirefu Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe hajawa kwenye uhusiano mzuri na nchi za Ulaya na Marekani... upande wa pili Rais huyo amekuwa rafiki mkubwa sana na nchi ya…