Headlines 10 za magazeti ya Ulaya, kabla ya Jose Mourinho kufukuzwa Chelsea …
Ikiwa ni siku tano zimepita toka uongozi wa bodi ya Chelsea utangaze kumfuta kazi aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Jose Mourinho, mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee headlines 10…
Pesa ya China inaruhusiwa kutumika Zimbabwe? Kilichonifikia ni hiki..
Kwa kipindi kirefu Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe hajawa kwenye uhusiano mzuri na nchi za Ulaya na Marekani... upande wa pili Rais huyo amekuwa rafiki mkubwa sana na nchi ya…
Usiku wa Dec 21 Ozil kaweka rekodi hii, hakuna mchezaji yoyote wa Ligi 5 kubwa Ulaya aliyeifikia msimu huu …
Usiku wa December 21 klabu ya Arsenal inayofundishwa na kocha wa kifaransa Arsene Wenger iliingia katika headlines za ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Manchester…
Mrema hajafuta kesi ya Ubunge wa Mbatia, kingine kilichomuumiza?….(+Audio)
Baada ya kuenea kwa taarifa ya aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo Augustine Mrema (TLP) kuwa kaamua kufuta kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge James Mbatia (NCCR-Mageuzi) huu ni wakati wako wa…
Mwanamke alivyokimbiwa na mume baada ya kujifungua Muhimbili Dar… #Hekaheka (+Audio)
Hii stori imesikika kwenye show ya 'Leo Tena' Clouds FM ambapo mwanamke mmoja amekimbiwa na mumewe baada ya kujifungua hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam. Mwanamke huyo amesema baada ya…
Kabla mwaka haujaisha huu ni ushindi mwingine kwa staa wa tennis duniani…
Staa wa tennis duniani Andy Murray ameingia kwenye headlines baada ya kuibuka mshindi katika nafasi ya mchezaji bora wa mchezo huo kupitia tuzo za BBC. Murray aliibuka mshindi akiwa huko huko…
Wasanii Bongo kulipwa kwa nyimbo zao kuchezwa kwenye Tv na Radio? majibu anayo Waziri…(+Audio)
Tumekuwa tukishuhudia au kusikia baadhi ya wasanii wa ng'ambo wakinufaika kwa namna tofauti katika sanaa zao kwa kupitia nyimbo zao kuchezwa kwenye vituo vya Radio na Tv kisha kulipwa mkwanja…
Adele anafunga mwaka wa 2015 na haya mambo sita: Umaarufu, Album mpya na mengine!
Adele ndiye staa wa muziki anayefunga mwaka wa 2015 kwenye headlines za burudani Marekani na dunia nzima akiwa ameuza zaidi ya nakala milion 5 za single yake mpya 'Hello' huku…
Christmas sio kila mtu anasherehekea, hawa hapa watakuwa kazini kama kawaida Uingereza..
December 25 huwa ni siku ambayo wakristo wengi duniani wanaungana kwa pamoja kusherehekea sikukuu ya Christmas, japo sikukuu inawahusu wakristo lakini huwa ni siku ya mapumziko kwa ujumla kwa watu…
Mo Music kafikishwa Mahakamani Dodoma… chanzo ni Mwanamke (+audio)
Mwimbaji wa hit single ya 'basi nenda' ambaye sasa hivi anapata airtime kubwa ya Radio kupitia single ya 'skendo' Mo Music, anasema mwaka 2015 kwake umemalizika na huzuni baada ya kushtakiwa…