Baada ya Fabregas kuzomewa na mashabiki wa Chelsea, Pedro kaamua kuongea haya ….
December 19 Ligi Kuu Uingereza iliendelea na moja ya mechi zilizochezwa ni ile ya Chelsea dhidi ya Sunderland, mchezo uliomalizika kwa Chelsea kuibuka na ushindi wa goli 3-1. Katika mchezo huo,…
Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya
Dec 21 2015 Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuweka wazi mikakati waliojiwekea kama Wizara pamoja na Jeshi la Polisi katika kupambana…
Nimekusanya videos 20 za Africa zilizogusa watazamaji wengi zaidi YouTUBE… TZ ipo moja tu!
Ni muziki wa Africa kwenye headlines... najua nina watu wangu wengi ambao ni mashabiki wakubwa wa muziki wa Africa na ndio maana leo nimechukuwa time ya kukusanya videos ambazo zimefanikiwa…
Louis van Gaal anaondoka Man United? imenifikia list ya makocha wanaotajwa kuchukua nafasi yake …
Headlines za makocha mbalimbali wa Ligi Kuu Uingereza kufukuzwa zinaendelea kushika kasi ambapo hivi karibuni ulimwengu ulishuhudia Kocha wa Swansea City Garry Monk akifukuzwa na Jose Mourinho akifukuzwa kuifundisha Chelsea. Stori za mitandaoni…
Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 Ikulu…Picha
Bado tunajua Zanzibar hakupatikana Rais mpaka sasa kutokana na mgogoro wa kisiasa unaoendelea.. Kumekuwepo na sintofahamu baada ya Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim kuyafuta matokeo yaliyomtangaza…
Video ya H.Baba alivyozitoa tuzo zake za mwaka 2015… kaongea pia
Usiku wa Dec 20 2015 mastaa wa Bongo H.Baba pamoja na mke wake Flora Mvungi walizitoa tuzo zao za mwaka 2015 kama walivyofanya mwaka uliopita, H Baba amekua akisema tuzo…
Vitu vitatu vya kufahamu kutoka kwa Yemi Alade kabla ya kufunga mwaka wa 2015!
Staa wa muziki kutoka Nigeria Yemi Alade ni mmoja wa wasanii kutoka Africa wanaohesabika kuwa na ushawishi mkubwa kwenye soko la muziki la Africa... Nimekutana na interview moja ya Yemi…
Kaa tayari kuipokea zawadi siku ya ‘boxing day’ kutoka kwa Alikiba December 26 Dar es Salaam..
Star wa muziki Bongo, Alikiba a.k.a 'King Kiba' ambaye siku chache zilizopita ameachia ngoma yake na mkali wa masauti, Christian Bella amekuja na good news ambayo ni zawadi tutakayoipokea December…
Waziri Charles KITWANGA kwenye hizi sentensi 4>>> dawa za kulevya, ugaidi, kesi bandia…
Leo Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga leo amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam. Baada ya kufanya ziara katika maeneo mbalimbali ya ofisi za Jeshi la Polisi…
Hii ndio adhabu ya FIFA kwa Sepp Blatter na Michel Platini baada ya uchunguzi kufanyika …
Baada ya uchnguzi wa kina kufanyika na wachunguzi wa shirikisho la soka ulimwenduni FIFA wameamua kutoa adhabu ya kuwafungia miaka nane kutojihusisha na masuala ya soka aliyekuwa Rais wa soka…