Video: Waziri mkuu wa Hispania alivyopigwa ngumi katikati ya kampeni, tukio la pili ndani ya wiki
Siku zinahesabika toka Waziri mkuu wa Ukraine alipobebwa juujuu akiwa bungeni, aliyembeba alijifanya kama anampelekea ua alafu baada ya kufika akambeba juujuu kabla hajashambuliwa kwa kipigo na baadhi ya waliokuwemo…
Ni Afande Sele, Alikiba, Juma Nature, Ferooz kwenye video zao enzi hizo……(+Video)
Muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine wapo kwenye game wengine hawapo…..nakukumbusha na vitu vya zamani kidogo mtu wangu, hapa ninazo video za kitambo kidogo za mastaa…
Kutana na video ya dakika 1 ya mkusanyiko wa matukio ya Mourinho ambayo hana furaha Chelsea …
December 16 stori zilizopo kwenye mitandao mingi ya soka barani Ulaya ni kuhusu uamuzi wa uongozi wa klabu ya Chelsea kuhitisha mkutano wa dharura na kujadili mwenendo wa timu yao…
Zisikupite hizi stori kubwa 8 kutokea kwenye Amplifaya Dec 16, 2015
December 16, 2015 mkusanyiko wa stori kubwa kutokea kona mbalimbali za dunia zilikusanywa pamoja na kusikika kupitia Kipindi cha redio Amplifaya ya Clouds Fm, sasa basi kama zilikupita hii ni…
Kilichowakuta Watumishi wanne wa serikali waliosafiri kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya Rais Magufuli
Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alifuta safari za Watumishi wa serikali nje ya nchi na iwapo itatokea kuna safari za nje, ruhusa ni lazima itoke kwake au kwa katibu mkuu…
Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz)
Licha ya kuwa katika wakati mgumu katika michezo ya Ligi Kuu Uingereza, klabu ya Chelsea imeanza kusherehekea sikukuu ya Christmas kwa style hii, mastaa wa klabu ya Chelsea waliamua kuanza kusherehekea Christmas,…
Saa 48 alizozitoa Waziri wa Magufuli kwa Wauza ‘Unga’…(+Pichaz)
Waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga amefanya ziara ya ghafla leo Dec 16 2015 katika makambi mbalimbali ya Jeshi la Polisi Dar es salaam na kutoa amri kwa viongozi wa jeshi…
Wasanii kulipwa nyimbo zinapopigwa Redioni/TV? stori iko hapa….. (+Audio)
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa Nikki wa pili akifunguka kuhusiana kupitishwa kwa sheria inayohusu wasanii kulipwa nyimbo zinapochezwa katika TV na Redioni. Akiongea na ripota wa millardayo.com alisema'Leo…
Ni kweli wachezaji wa Man United hawamtaki Louis van Gaal? David de Gea kajibu hapa …
Headlines za wachezaji wa Man United kuhusishwa kutomtaka kocha Louis van Gaal aendelee kukitumikia kikosi hiko zinazidi kuchukua nafasi kila siku, kuna wakati Louis van Gaal alisema ni kweli ataondoka…
Imenifikia TOP 5 ya wachezaji soka wenye majina marefu zaidi duniani …
Najua mtu wangu imekuwa ni kawaida kusikia majina ya wachezaji pindi wanapotangazwa kupitia Television au Radio wakati mpira ukichezwa, wengi huwa tunatambua majina ya kawaida na mafupi kutokana na namna…