Mteja kakasirishwa na bili hotelini, akaamua kuingiza gari mpaka meza ya mapokezi ndani (+Video)
Hasira hasara... hasira ya huyu jamaa ilianzia kwenye mzigo wa bili ya huduma aliyosogezewa baada ya kuhudumiwa katika hoteli moja Marekani, akaona poa hamna namna, maamuzi yake ikawa ni kutoka…
Picha tatu kutoka kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri wote kwenye meza moja
Siku ya alhamisi December 10 2015 tulishuhudia kwa mara nyingine Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kuipanga timu yake itakayoongoza jahazi la Serikali ya Tanzania kwa awamu…
Rais Magufuli ndani ya Ikulu na ugeni kutoka Japan, mipango ya umeme ilivyojadiliwa..(+Audio)
Dec 14 2015, Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida Ikulu jijini Dar es salaa ikiwa ni pamoja na kujadili kuhusu ujenzi wa…
Ndege zimetelekezwa airport mwaka mzima, mwenye nazo hajulikani ?!! Cheki na hii ya ndege tatu..
Eti ndege zimetelekezwa na mwenyewe hafahamiki ??!! Kichwa cha habari huenda kikakushtua lakini ndio hivyo, na ndege zenyewe zimekaa airport mwaka mzima uwanja wa Kuala Lumpur, Malaysia. Baada ya ndege…
TOP 5 Stori: Madrid wapo tayari Rodriguez ajiunge na Chelsea ila? Baada ya Mahrez kumsumbua Terry Chelsea waamua hivi …
Headlines za soka bado zinachukua nafasi kila kukicha na mimi mtu wangu siachi kukujuza kila linalonifikia, hususani katika kuelekea kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili la mwezi January. Mtu…
Chris Brown kaja na mzigo mwingine, dakika zako tatu kuupitia hapa.. -‘Back to Sleep’ (+Video)
Zikiwa zimebaki siku chache kufikia uzinduzi wa album yake mpya, Royalty staa wa muziki wa R&B, Chris Brown amerudi kwa mara nyingine wiki hii na ujio wa mzigo wa latest single…
Wachina na rekodi zao, cheki na smartphone inayokaa chaji siku 15.. (+Video)
Mawasiliano muhimu sana mtu wangu, ndio maana watu wengi wanaona umuhimu wa kuwa na smartphone ili mawasiliano ya njia nyingi yaweze kumfikia. Wataalam wa mambo wakaingia kazini na kubuni kitu kinaitwa…
Godzilla anayo furaha kukualika kusikiliza hii single yake mpya…-‘I get high’ (+Audio)
Ikiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015, Leo Dec 15 msanii wa muziki wa Hip Hop Golden Mbunda a.k.a Godzilla amekuja na hii zawadi ya funga mwaka aliyoipa jina la 'I Get High' iliyotengenezwa…
Wabunge walioukataa Uwaziri, Mapigano ya wakulima, wafugaji, aliyevamia kwa MWINYI bila taarifa…#MAGAZETINI
MTANZANIA Wabunge wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa wazi, imebainika. Hatua hiyo imetokana na kile kilichoelezwa…
Kwanini Mr. Nice anafanya muziki kwa Nyodo? stori iko hapa….
Inawezekana kabisa haujamuona Mr Nice kumiliki zile chart za Top 20 za radio lakini hajakata tamaa ya kutafuta maisha ana mambo yake mengine anayoyafanya tofauti na muziki. Mr Nice anasema…