Pichaz 20 za maadhimisho ya siku ya msanii Tanzania pamoja na washindi wa tuzo nne za heshima …
Siku ya msanii ni siku maalum ambayo Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) lilibuni siku hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 2008 katika kutekeleza sheria No:23 ya mwaka 1984 iliyounda Baraza hilo.…
Nimekutana na hii, Lionel Messi ametwaa mataji mengi kuliko klabu ya Chelsea ambayo ina miaka 110 …
Hii inaweza ikawa sababu nyingine ya mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayekipiga katika klabu ya FC Barcelona Lionel Messi kutajwa katika list ya mchezaji bora wa muda wote kama ambavyo Diego Maradona…
Hali mbaya Man United yakubali kipigo kwa Bournemouth, Cheki matokeo ya EPL Dec 12 (+Pichaz&Video)
Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena leo December 12 kwa mechi takribani sita kupigwa katika ardhi ya Malkia Elizabeth, miongoni mwa michezo iliyochezwa Jumamosi ya December 12 ni AFC Bournemouth dhidi ya…
Ongeza hit singles kwenye Christmas playlist yako na hii mpya ya August Alsina; Song Cry – (Video)!
Album yake mpya 'This Thing Called Life' ikiwa mtaani tayari, msanii wa miondoko ya R&B kutoka Marekani, August Alsina anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani na ujio wa official music…
FC Barcelona yalazimishwa sare katika uwanja wake wa nyumbani Nou Camp (+Pichaz&Video)
Mechi za Ligi Kuu Hispania ziliendelea kama kawaida jumamosi ya December 12 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini humo, klabu ya FC Barcelona ambao ndio timu inayoongoza msimamo…
Huku Ajib kule Bocco dakika 90 ya kuzitafuta point tatu kwa Azam FC na Simba, Cheki matokeo ya VPL Dec 12 (+Pichaz)
Baada ya mashabiki wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kukosa burudani hiyo kwa wiki kadhaa kutokana na kusimama kwa Ligi ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa…
Picha za kwanza kutoka Escape One kwenye shangwe za After Skul Bash….
Xxl ya cloudsFM kila mwaka hufanya party ya wanafunzi wote waliofunga shule ikiwa ni pamoja na wa shule ya Msingi,Sekondari,kwa pamoja party hii inaitwa After skul Bash,hii inaendelea sasa hivi…
Picha 9 Waziri Kitwanga alivyokaribishwa Wizara ya Mambo ya Ndani baada ya kuapishwa leo Dec 12
December 10 2015 Rais John Pombe Magufuli alitangaza baraza lake la Mawaziri katika awamu yake ya uongozi Ikulu Dar ingawa halikukamilika, Leo Dec 12 shughuli ya uapishwaji ilifanyika. Hapa ninazo…
Dakika 8 za kuenjoy na mzigo wa comedy kutoka kwa Wanigeria… (+Video)
Vipande vya video za vioja vya hawa jamaa vimekuwa maarufu sana kwa watumiaji wa WhatsApp sikuhizi, katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii video ambayo imeungwa vichekesho vyao vingi kwa…
OnAIRwithMillardAyo: Nay wa mitego alivyofukuzwa nyumbani na kuwa Kinyozi
OnAIR with Millard Ayo: Kutana na Interview ya msanii wa bongofleva Nay wa Mitego na ishu zake nyingi ambazo hajawahi kuzisimulia kokote, ni maisha aliyoyapitia lakini akakaza mpaka leo katoboa, bonyeza…