Ivo Mapunda amejiunga na Azam FC? hizi ni sentensi za majibu yake…
Golikipa mkongwe Tanzania aliyewahi kuvichezea vilabu vya Dar Es Salaam Young African na Simba Ivo Mapunda amethibitisha kuwa na mpango wa kujiunga na moja kati ya klabu zilizokuwa zinamnyatia kwa…
Ben Pol kayazungumza haya kuhusu kukutana na wasanii wa Africa akiwemo Patoranking…(Audio)
Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Africa akiwemo Khuli Chana na Patoranking. Staa huyo ambaye amekwenda katika maandalizi ya video zake mbili alisema..'Niko…
Video: Kilichomkasirisha Rais Magufuli November 9 mpaka akafikia haya maamuzi.
Taarifa ya chote kilichotokea mchana wa November 9 2015 na kumkasirisha Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Magufuli kinaelezwa hapa chini na katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue, bonyeza…
Louis van Gaal hajaridhishwa na kasi ya mawinga wa Man United, hawa ni nyota watano anaotajwa kuwasajili …
Presha ya mechi za Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016 imefanya vilabu kadhaa kuanza kuingia katika mipango ya kufanya usajili wa wachezaji licha ya kuwa dirisha dogo la usajili bado…
Vijue baadhi ya vitu ambavyo mastaa wangependa kuwa navyo, ndani yupo Wizkid na wengine!
Naamini kuna watu wangu ambao wanatamani wapate walau dakika tano kuchill na mastaa kadhaa wanaowakubali, kuwauliza maswali tofauti kuanzia maisha, biashara, muziki ama sanaa yoyote ile wanayoifanya... lakini umeshawahi kukaa…
Zifahamu tabia sita za wachezaji wa Kibrazil ambazo karibia wote huwa wanazo …
Brazil ni nchi ambayo kila mpenda soka anaifahamu kwa kutoa vipaji vingi katika soka, katika mfumo wa uzalishaji wachezaji Brazil ni tofauti kidogo na nchi za Ulaya, asilimia kubwa ya…
Hapa ni Christian Bella pembeni mkongwe Koffi Olomide ndani ya studio.. Kitu kipya?
Kama umekuwa karibu na mtandao wa Instagram utakuwa umeshuhudia mastaa wengi wakipost vipande vya video ya wimbo mpya wa Koffi Olomide unaoitwa 'Selfie'. Koffi ni mkongwe wa muziki toka Congo,…
Malaika wa ‘Sare’ amekuja na kitu kingine cha nguvu, hii ndio ‘Zogo’ yenyewe.. (Video)
Malaika ni moja ya warembo mastaa wa kike wachache waliobahatika kuziteka headlines za muziki TZ kwa mwaka 2015, ukisikiliza ngoma ya 'Sare' - Malaika Feat. Mesen Selekta utakubaliana na mimi…
Rais Magufuli kashtukiza tena na leo kwa ziara ya ghafla…
Headlines kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuanzia Ijumaa November 6 2015 siku ya kwanza ya Rais Dk. John Pombe Magufuli Ikulu, zilibebwa na stori ya ziara ya kwanza ya kushtukiza…
Kuelekea countdown ya birthday yake, Davido ameamua kujizawadia ndinga hii mpya! (+Pichaz)
Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido anazidi kuonyesha uwezo wake wa kuchop money kadri siku zinavyoenda... zimebaki wiki kama mbili kufikia tarehe 21 Novembeer 2015, siku ya kuzaliwa kwa Mkurugenzi…