Runtown kwenye fainali za BSS, Tundaman na muziki wa TZ, mauzo Mixtape ya Zaiid na P The Mc je?..#255
Fainali za BSS zitafanyika ijumaa ijayo Oktoba 9..Mkurugenzi wa fainali hizo Madam Rita Paulsen amezungumza kwenye 255 leo na kusema msanii Runtown kutoka Nigeria atatumbuiza katika fainali hizo, wasanii wengine…
The Game na Kanye West wanaileta kwako ‘Mula’… (Audio)
Rapper The Game yupo njiani kutoa album yake mpya iliyopewa jina la 'The Documentary 2' na miongoni mwa nyimbo zinazopatikana kwenye album hiyo ni wimbo mmoja utitwao 'Mula' ambao ndani…
Mwendelezo wa watoto waliofanyiwa ukatili Dar na hali ya baba aliyedhalilishwa..#Hekaheka Audio
Kwenye Hekaheka ya leo Geah Habib amezungumzia kuhusu yule mtoto ambaye alikutwa amepigwa sana eneo la Mbezi Beach na kulazwa ICU..mtoto huyo ameruhusiwa kurudi nyumbani lakini hali yake bado si…
Baada ya kimya kingi, T-Pain atangaza ujio wa album yake mpya; ‘Stoicville: The Phoenix’! (Video).
Mara ya mwisho umesikia T-Pain katoa album ilikuwa ni lini? Siku nyingi... Amini, usiamini imepita miaka 4 toka msanii huyo aachie album yoyote, na mashabiki wake wengi wamekuwa wakisubiri kwa…
Rekodi nyingine ya Cristiano Ronaldo hii hapa….
Mshambuliaji wa Real Madrid Christiano Ronaldo ameingia tena kwenye headlines za michezo baada ya jana kufanikiwa kuhitimisha mabao 500 kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malmo FF ikiwa ugenini.…
Uko kwenye gari na mtoto wako alafu unavuta Sigara, Uingereza hawakuachii hata kidogo..!!
May 24 2015 Tanzania iliungana na Nchi nyingine kuadhimisha siku ya Kifua Kikuu Duniani, kwenye Ripoti za utafiti inaonesha Sigara ni moja ya vitu vinavyochangia tatizo la ugonjwa huo !! Kwenye…
Avril on air with Millard Ayo.. ndoa mwakani, kuokoka, Waimbaji wa kizazi kipya
Avril ni mwimbaji staa kutoka Kenya ambaye pamoja na hit singles nyingine, 'chokoza' aliyoifanya na Marya iliwafikia Watanzania wengi zaidi na ndani ya muda mfupi zaidi ya miaka mitatu iliyopita.…
Wizi kutokea eneo la ajali sio kwa Bongo pekeyake, imemkuta na huyu mama Marekani.. +Pichaz
Kwenye matukio ya ajali wizi nao huwa unakuwepo, yani mfano imetokea ajali wapo wanaokuja kwa lengo la kusaidia majeruhi wa ajali, lakini wapo wanaokuja na malengo na maslahi yao mengine…
Nimekusogezea TBT za mastaa mbalimbali, Oprah, Kelly Rowland, Serena wamo..Pichaz
Kila siku ya alhamisi watu hukumbushia picha zao za zamani maarufu kama TBT Throwback Thursaday. Leo mtu wangu nimekusogezea TBT za wanawake mbalimbali ambao ni maarufu duniani. …
Kim Kadarshian anachukuliaje uamuzi wa Kanye West kugombea Urais? (Video).
Stori za Kanye West zimekuwa nyingi sana mara baada ya rapper huyo kutangaza kuwa ana mpango wa kugombea Urais kufikia mwaka 2020.. miongoni mwa watu walioshitushwa na habari hiyo ni…