Zao la kwanza la Diamond Platnumz,Anaitwa Harmonize kwenye singo inaitwa Aiyola.
Diamond Platnumz ameamua kumtambulisha msanii wake wa kwanza mtu wangu kutoka kwenye lebo yake ya WCB,msanii huyu anaitwa Harmonize na hii ni singo yake ya kwanza inaitwa Aiyola,ukiisikiliza unaweza kuandika comment…
Beyonce vs Kim Kardashian kwenye ushindani wa Followers @Instagram
Mitandao ya kijamii imeedelea kushika kasi zaidi kutokana na matumizi ya watumiaji kwenye mitandao hiyo kuzidi kuongezeka kila siku. Mastaa wa kimataifa Beyonce na Kim Kardashian wameingia kwenye headlines baada…
Video ya Edward Lowassa alivyoingia mitaani Dar es salaam
Mgombea Urais wa UKAWA 2015 Edward Lowassa alianza ziara ya kuingia mitaani Dar es salaam Aug 24 2015 ili kukutana na Wananchi uso kwa uso na kusikiliza matatizo yao. https://www.youtube.com/watch?v=H_KLwlLxB3o…
MAGUFULI na kampeni, utata wa kauli ya MKAPA, Kituo cha Polisi kuchomwa…#MAGAZETINI AUGUST 25
HABARILEO Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema katika sehemu kubwa ya kampeni yake, atatumia zaidi usafiri wa barabara ili apate fursa ya kuzijua kwa karibu kero za wananchi…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania August 25, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Kauli ya Mkapa, Lowassa na style mpya ya kampeni, + Hofu ya mvua za El Nino DAR. (Audio)
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Jukumu langu ni kuhakikisha zile zote zinazoweka headlines magazetini kila asubuhi zinakufikia... Mgombea Urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa aanza kampeni kwa style ya kipekee kwa…
Magazeti 18 ya Tanzania August 25 2015, habari kubwa za udaku, michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Agosti 25,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Liverpool Vs Arsenal matokeo yalikuwa hivi (Pichaz & Video)
August 24 klabu ya Arsenal ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza mechi iliyochezwa katika uwanja wa Emirates wenye uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya 60,000.…
Majibu ya Ivo Mapunda kuhusu taulo lake jeupe linalo husishwa na imani za kishirikina (+Audio)
Golikipa mkongwe katika soka la Tanzania ambaye ana historia ya kucheza vilabu kadhaa Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania Ivo Mapunda amekuwa na tabia ya kuingia uwanjani na taulo jeupe…
Ulimis hotuba yote ya Magufuli kwenye siku ya kwanza ya Kampeni? ninayo video yake hapa
John Pombe Magufuli ndio amepitishwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2015, hii ni hotuba yake ya kwanza siku ya ufunguzi wa kampeni kwenye viwanja vya…