Wizara ya Afya imetoa Idadi kamili na maeneo wanayotoka waathirika wa ugonjwa wa kipindupindu
NI Ugonjwa ambayo umechukua headline sana kwa mwaka huu, sasa leo Mh. Dr.Seif Selemani Rashid kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii aliitisha mkutano wa waandishi wa habari kuzungumzia idadi…
Polisi wazuia ziara za Lowassa zisizo rasmi Dar es Salaam….
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku wagombea wa vyama vya siasa kufanya vitendo vinavyo hatarisha usalama wa raia na mali zao kwa kufanya mikusanyiko isiyo…
Habari kumi kubwa za kwenye Top 10 ya AMPLIFAYA CloudsFM Agosti 25 2015
Kutana na #AMPLIFAYA ya CloudsFM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku uwe unapewa habari zote kumi kubwa za siku kuanzia kwenye siasa, michezo, burudani, muziki, filamu na mengine ya…
Hizi ni picha za Mesut Ozil na Miss Uturuki zinazozua hofu kuhusu ukaribu wao
Picha ambazo zimekuwa zikizunguuka katika vyombo vya habari mbalimbali Uturuki zikimuonesha kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayeichezea klabu ya Arsenal ya Uingereza Mesut Ozil ameonekana akiwa na miss Uturuki kitu ambacho…
Behind the scenes ya video mpya ya Future ‘Where Ya At’ feat Drake isikupite mtu wangu. (Video).
Siku chache zilizopita niliisogeza kwako video mpya ya Future 'Where Ya At' aliomshirikisha rapper ,mwengine maarufu Drake. Lakini baada ya video hiyo kutoka na kupokelewa vizuri na mashabiki, Future kanona bora…
Mdundo mpya wa French Montana umekupita? ‘To Each His Own’ imenifikia karibu uitazame hapa. (Video)
Imepita muda kidogo toka French Montana adondonshe mixtape yake 'Casino Life 2: Brown Bag Legend ' lakini good news ni kwamba msanii huyu wa Hip Hop bado ana vitu vizuri kwa…
The Weekend anaileta kwako video ya ngoma yake mpya; ‘Tell Your Friends’ (Video).
Baada ya kuachia 'Cant feel my Face' msanii wa Muziki wa R&B Marekani The Weekend amerudi kuziweka healines kwenye kurasa za burudani. Time hii amekuja na video ya wimbo wake mpya…
Rasmi Juventus wamsajili nyota huyu kutokea Chelsea
Klabu ya Juventus ya Italia bado inaongeza nguvu katika kikosi chake kwa kusajili wachezaji kadhaa ili kuweza kuendana na kasi ya michuano mbalimbali itakayoshiriki msimu huu. Juventus ambayo imeondokewa na…
Mchezaji wa Ligi Kuu Uingereza mbaroni kwa kosa hili
Asilimia kubwa ya sheria za kila nchi duniani huwa haziruhusu mtu kumtishia silaha au kumwambia maneno ambayo yatatafsirika kama kumtishia amani ya kumuua ni kosa kisheria hata kama umeongea kauli…
Young Killer kazungumzia deni analodaiwa na Edo Boy, issue ya mahakamani je? ..#Uheard (Audio)
Young Killer na Edo Boy jana walisikika kwenye Uheard kuhusu kuwa na beef hadi kupelekena polisi kisa deni, lakini Edo Boy hakutaka kuweka wazi mambo hayo lakini Soudy Brown hakuridhika…