Full Time ya mechi za Arsenal, Liverpool, Man City na Tottenham May 11 2014
Full Time ya mechi nyingine muhimu za May 11 2014 ambapo zimeingiza matokeo haya kwenye historia nyingine ya walioshinda na walioshindwa.
Picha 25 za utengenezaji wa video mpya ya Mkubwa na Wanawe – Nitajuta.
Hii ni video ya pili kutoka kwa kundi la Mkubwa na Wanawe kundi linaloundwa na vijana wengi zaidi lakini kwa wimbo huu wameshiriki wale wale walioimba Yamoto ambao ni Maromboso,Enock,Beka…
Magazeti ya leo Mei 11 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Dakika 5 za kilichotokea Kenya nyuma ya video ya ‘Asante’ ya Ay @AyTanzania
Ni single yake mpya kwenye TV & Radio kote Afrika ambayo imefanyika Kenya zaidi ya wiki tatu zilizopita ikiwa pia ndio video ya kwanza ya Ay akionekana kumshika msichana, ni…
Sekunde 27 za single mpya ya @Nikkwapili ft G Nako & @IamBenPol
Ni single ambayo itawafikia Watanzania Jumanne ya May 13 2014 kupitia radio mbalimbali Tanzania na video yake kufata baadae lakini time hii unaweza kuitumia kusikiliza sehemu tu ya single yenyewe.…
Kauli ya Diamond Platnumz baada ya kusambaa kwa wimbo wake – Kitorondo.
Inawezekana ikawa si mara ya kwanza kusikia habari za wasanii kulalamika kuhusu kuvuja kwa nyimbo zao,Diamond Platnumz nae ana malalamiko yake juu ya hili na hii ni baada ya siku…
Picha 9 za video mpya ya Mb Dogg – Umenuna.
Kwa Tanzania ukitaja wasanii watatu bora ambao kupitia soko la kuuza album walitoa copy nyingi sana bila shaka huwezi kuliacha nyuma jina la Mb Dogg ingawa kwa sasa soko la…
Unaambiwa huu ndio wimbo wa kwanza wa Young Killer time hizo akijiita Lil’ K.
Ingawa maisha yanakua na historia ndefu sana na pengine kama ukiwa umefanikiwa kwa kiasi fulani mtu wangu wa nguvu unaweza hata kushangaa ukicheki ulipotokea,hapa kuna video ya Super Nyota wa…
Picha za kwanza za jinsi Miss IFM 2014 ilivyokua na huyu mshindi kutangazwa
Chuo cha usimamizi wa Fedha IFM usiku wa mei 09 walikua wakimtafuta Miss Ifm ambayo kwao ni kama kumtafuta mwakilishi wao ambaye atakwenda kuwawakilisha kwenye ngazi zinazofuata za mashindani haya…
Magazeti ya leo Mei 10 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.