Msikilize Mbwiga wa Mei 09.
Mbwiga wa Mbwiguke kila Ijumaa anakuwepo live studio akitoa udambwi dambwi wake,hapa leo anaizungumzia timu ya Yanga ilivyokuwa kipindi cha nyuma na ilivyo kwa sasa. 104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa…
Habari 10 za Amplifaya May 9 2014, Edinson Cavani, katibu mkuu chama kipya cha siasa
Amplifaya ni show inayosikika on Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku kikiwa na mkusanyiko wa habari kumi kubwa za siku za siasa, muziki michezo na mengine. #AMPLIFAYA…
Sekunde 18 za sehemu ya new single ya Victoria Kimani ft. Diamond & Ommy Dimpoz
Wakati wako studio kuitengeneza hii video kuna siku Ommy Dimpoz alipost picha akiwa pamoja na Victoria na Diamond ambapo baadae video hiyo kwenye instagram ilizua ishu kubwa mpaka Wema kwenda…
Alichokisema Master Jay kuhusu uhusiano wake na Shaa pamoja na Mke wake wa Ndoa.
Ingawa kuna fununu ambazo si rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Master Jay na Shaa,hapa kuna stori tofauti ambayo Soudy Brown anai-amplify kuhusu mke wa Master Jay kutoka na…
Maneno ya Prezzo kuhusu Miss Ifm leo.
Leo ni siku rasmi anayotafutwa Miss Ifm ambaye ndiye atakua mwakilishi kuelekea ngazi ya juu zaidi ikiwemo ya Miss Tanzania,Kutoka 254 Cmb Prezzo ndiye msanii pekee aliyepata mwaliko wa kutumbuiza…
Picha ya ajali ya basi la Dar Express May 9 2014
Ni abiria zaidi ya 50 walionusurika kwenye hii ajali ya basi la Dar Express lililokua likitokea Dar es salaam kwenda Nairobi leo May 9 2014 ambapo lilipofika Msata karibu na…
Kutana na Tembo wanaocheza Disco, wanacheza gangnam style (video)
Ni moja ya vile vitu ambavyo ndio unakutana navyo kwa mara ya kwanza kwenye maisha yako, vitu vinavyoweza kukufanya ubishe mpaka mwisho kwa sababu uwezekano huo hauuoni.... labda mtu angekwambia…
#AyoTV video za @FidQ Weusi Shilole na Adam Mchomvu New maisha club. @AyoTV
Ni usiku ambao presenter wa XXL ya CloudsFM Adam Mchomvu alikua anaonyesha uwezo kwenye upande wake wa pili ambao ni muziki. Kwenye hii time ambayo Adam alisindikizwa kwenye stage na…
Dakika 19 za kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo Mei 09.
Teknolojia inaniruhusu kukuwekea hii kitu,Naomba uzitumie dakika hizi 19 kwa ajili ya kusikiliza magazeti ya leo Mei 09 yakisomwa na kuchambuliwa redioni kupitia kipindi cha Power Breakfast kwenye kisehemu cha…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo Mei 09 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.