Mabeste kawasema tena B Hits, maneno yake yote yako hapa kuhusu M-Rap.
Mabeste Venance ex-member wa B hits music group kuna vitu hajavifurahia kwa upande wake kuhusu B hits na uongozi wake na kuamua kuandika status ndefu kwenye facebook. Kumbuka kwamba Mabeste…
Kipande kingine kutoka kwenye video ya ‘chuna buzi’ ya Shilole.
Tarehe 24/3/2014 ndio siku ambayo full video ya 'chuna buzi' kutoka kwa Shilole itaanza kuonekana rasmi kwenye vituo vya TV lakini video hiyo itakua na version mbili, moja ya Internet…
Msikilize Mbwiga leo March 20.
Huu ni udambwi dambwi wa Mbwiga wa Mbwiguke leo March akizungumzia michezo ya kipindi cha nyuma kupitia Sports Extra. 104.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Dodoma Bonyeza play kusikiliza.
Alichosema Dwight Yorke juu ya timu 3 ambazo Man United inaweza kuzifunga robo fainali ulaya
Baada ya ushindi wa jana wa 3-0 dhidi ya Olympiakos ambao uliwapeleka Manchester United katika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya, watu wengi hasa mashabiki wa…
Ilichosema Yanga kuhusu serikali kuchukua eneo lao na kujenga kituo cha mradi wa mabasi yaendayo kasi
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Jengo la Yanga, Francis Kifukwe amesema kituo cha mabasi yaendayo kasi (DARTS) kilichojengwa eneo Jangwani kipo ndani ya eneo lao, haya maneno kayatoa wakati…
Fahamu alichosema kuhusu kilichomuondoa FC Barcelona
Kocha wa klabu bingwa ya ulaya Bayern Munich, Pep Guardiola, amefunguka kwamba kipigo kutoka kwa Chelsea kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya miaka miwili iliyopita ndicho kitu kilichomfanya afungashe virago vyake…
Movie ya need for speed kuanza kuonyeshwa Dsm, ratiba ya nyingine iko hapa
Wale fans wa video game ya Need for Speed mnaambiwa imekuja movie yake na kama ulipenda kuona magari yakiwa kwenye kasi ya ajabu kwenye movie za Fast and furious basi…
Alichopost Samuel Eto’o Instagram kuhusu yeye na Didier Drogba
Mshambuliaji wa Chelsea na timu ya taifa ya Cameroon Samuel Eto'o ambaye alikuwa mmoja wa wafungaji wa mabao mawili ya Chelsea yaliyowaondoa Galatasary katika michuano ya UEFA Champions League jumanne…
Baada ya Zuma kugundulika kutumia vibaya fedha za serikali, hiki ndicho walichosema chama chake
Chama tawala nchini Afrika ANC kimetoa kauli yake kuhusu tuhuma za utumizi mbaya wa pesa za Umma dhidi ya Rais Jacob Zuma. Katibu mkuu wa chama hicho, Gwede Mantashe, amesema…
Kuhusu shabiki wa Yanga aliyepoteza maisha kwenye mechi kati ya Azam na Yanga jana..
Hii ni Taarifa mbaya ni taarifa ya kifo cha moja kati ya mashabiki walioenda uwanjani kwa ajili ya kushuhudia mechi iliyokuwa ikichezwa kati ya Azam na Yanga uwanja wa Taifa…