Robert Lewandowski asaini kuichezea Bayern Munich.
Klabu ya Bayern Munich hii leo imethibitisha kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Poland Robert Lewandowski . Lewandowski amesaini mkataba wa miaka mitano ambapo ataanza kuichezea Bayern Munich mwezi julai mwaka…
Matokeo ya Kombe la FA kwa mechi za leo.
Mzunguko wa nne wa mashindano ya kombe la chama cha soka nchini England maarufu kama FA Cup umeanza hii leo kwa michezo kadhaa iliyopigwa kwenye viwanja mbalimbali nchini humo .…
Unataka kujua takwimu za Ajali za Treni Tanzania mwaka 2013? ziko hapa
Kamanda Saada Haji ambae ni kamanda wa kikosi cha reli Tanzania ameanza kwa kusema 'jumla ya ajali 79 zinazohusisha Treni zilitokea mwaka 2013 katika mikoa tofauti ambapo hata hivyo ajali…
Unaweza kujishindia laki tatu kutoka kwa Ommy Dimpoz kwa kufanya hivi.
Unaweza kujishindia shilingi laki tatu kwa kutuma picha kali yenye pozi la ukweli kwenda kwa Ommy Dimpoz. Kwenye instagram Omari Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz anaendesha shindano la picha yenye…
Ludacris acheza faulo nje ya uhusiano wake.
Licha ya kuwa kwenye uhusiano ya muda mrefu na mchumba wake Eudoxie, Ludacris bado amecheza faulo nje ya uhusiano wao.
Tanga bwana!! haya ni baadhi ya majina ya sehemu zake.
Ni baadhi ya majina ya sehemu ambazo zipo ndani ya mkoa wa Tanga (Clouds FM 96.0) ambapo hili la juu liitwalo Mkanyageni mwanzoni nilijiuliza maswali mengi sana na nikahisi vitu…
hii ya bangi kuruhusiwa kisheria, cheki watu kwenye foleni kuinunua na maduka yenyewe yani.
Hawa hapa juu ni baadhi tu ya wateja waliojinunulia bangi yao toka ipitishwe kisheria huko Colorado Marekani ambapo hii picha walikua wakiukaribisha mwaka mpya 2014. < !--> Normal 0 false…
Ule msikiti anaojenga mwigizaji Mzee Majuto umefikia hapa sasa hivi.
Pamoja na kwamba alikiri kuingiza mamilioni ya shilingi kila mwezi kutokana na kazi yake ya Uigizaji, Mzee Majuto aliahidi kujenga Msikiti kwenye sehemu ya kiwanja chake nyumbani kwake 96.0 Tanga.…
Kwa unaefatilia maisha ya mastaa, Snura atavaa vya aina hii sana 2014,
Miongoni mwa wasanii wa Bongo fleva ambao hawatoweza kuusahau mwaka 2013 pengine Snura nae yupo kwenye list na hii ni baada ya meneja anayesimamia kazi zake za muziki Hemed Kavu…
Magazeti ya leo January 04 2013
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…