Bill Clinton aingia kwenye kashfa nyingine ya kutoka nje ya ndoa yake
Bill Clinton rais zamani wa Marekani aliwahi kuingia kwenye kashfa kubwa ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Monica Lewinsky ambaye alikuwa na miaka 22 kipindi hicho akifanya kazi kama…
Video ya magoli yote ya Real Madrid vs Atletico Madrid
Kila anaelijua soka anakubali hii ni mechi nyingine iliyokutanisha wakali na kila mmoja alikua na hamu ya kujua mwisho wake utakuaje... chek jinsi kilivyopigwa hapa chini All Goals - Real…
Yajue mambo haya yanayohusiana na tarehe ya leo February 6.
Jana mashabiki wa Man United wali-post picha tofauti za Adnan Januzaj wakimtakia happy birthday, lakini leo wata-post picha za Munich air disaster iliyotokea tarehe kama ya leo mwaka 1958. Tarehe…
Msikilize Mbwiga leo February 05
Zitumie dakika chache hizi kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke leo February 05 akitoa udambwi dambwi wake ambao siku zote huusisha mpira wa Miguu sikiliza kupitia 88.5 Clouds Fm Masasi. Bonyeza play…
Kutana na kiduku kipya cha Super Mario Balotelli
Mario Balotelli mwenye umri wa miaka 23 ni mshambuliaji kwenye kikosi cha AC Milan na timu ya taifa ya Italy ambae amekua akitokelezea kwenye headlines mara kwa mara kutokana na…
Matokeo ya Simba v/s Mtibwa Sugar ya Morogoro yapo hapa.
Mechi kati ya Mtibwa Sugar ya Morogoro na Simba ilimalizika kwa matokeo kuwa 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa jioni ya February 05 kwenye Uwanja Jamuhuri Morogoro (88.5…
Umesikia Hekaheka ya leo kuhusu baba anayefanana na mtoto asiye wake.
Mitaani ndiko kunakotokea mambo mengi ya kuchekesha kuelimisha na kufundisha pia,hii Hekaheka inamhusisha mzazi mmoja aliyejitolea kumlea mtoto ambaye si mtoto wake wa damu lakini wanafanana sana,kiasi majirani wamemtilia shaka…
“Kwanini niliikataa Real Madrid na kujiunga na Manchester City
Ni mmoja wa washambuliaji wanne wanaounda safu kali ya ushambuliaji ya klabu ya Manchester City ambayo mpaka sasa imeshafunga mabao zaidi ya 100 katika michuano inayoshiriki, Stevan Jovetic mshambuliaji wa…
Alichokisema Wema Sepetu kuhusu yule dada anaesemakana kutoka na aliyekua Boyfriend wake.
Wiki kadhaa zimepita sasa tangu kutangazwa kuwa Wema kanyang'anywa kila kitu na mtu anaesemekana kuwa alikua mpenzi wake ambae kwa maelezo inasemekana yeye ndiye aliyenunua vitu hivyo,baada ya hapo zikapita…
Unataka kujua nyimbo zinazosumbua Club kwa sasa?hizi hapa.
Huu ni mtiririko wa nyimbo zinazosumbua kwa sasa kwenye Club mbalimbali ikiwemo New Maisha Club chini ya Extreme Djs,hapa pata nafasi ya kuzifahamu nyimbo hizi. 10.Ya moto- 09.Sugua Gaga-Shaa 08.Number…