Hekaheka ya January 9 2014, ya huyu Mwanamke mwenye stress isikilize hapa
Hehakeha ya Leo Tena Clouds FM ( 104.4 Dodoma) inafanywa na Sakina kwa sasa ikiendeleza kama kawaida ripoti za matukio ya mtaani tunamoishi kila siku, hii ni kali pia ya…
Hii hapa ni ratiba ya movie kuanzia January 10 hadi January 11.
Moja ya movie mpya zitakazoanza kuonyeshwa wiki hii ni The family na hapa kuna trailer yake unaweza kuiangalia. Pia unaweza kucheki ratiba nzima ya kuanzia kesho hadi ijumaa ya wiki…
Isikilize hapa You heard ya leo
Soud Brown leo ame-amplify biashara mpya anayoifanya Kalapina mara baada ya kukimbiwa jukwaani siku ya pambano,ni biashara ya msimu na ni ya kustaajabisha sana hasa kwa mtu kama yeye,Isikilize biashara…
Mwenyekiti wa Chadema alietekwa katoka hospitali, pichaz na alichosema.
millardayo.com : Mendeleo yako yakoje? Joseph Yona: Mendeleo yangu sasa hivi ni mazuri zaidi ni kichwa na mgongo tu vinaniuma ila tuliamua tu kwa hali ya kawaida kuondoka hospitali saa…
Hii ni ya kesho Ijumaa Dar es salaam mtu wangu! @bballkitaa @IamNchaKALIH
kwa wale ambao hawafahamu ni kwamba ni BBALL KITAA ambalo ni jukwaa la kukuza mpira wa kikapu kitaani pamoja na hip hop music. Sasa kila Ijumaa moja ya mwezi huwa…
Pale mtoto wa miaka 12 alipoitwa na Jay Z kwenye stage, akachana!
Ni mtoto wa miaka 12 anaitwa Justin Kyler ambae aliingia kwenye show ya Jay Z huko North Carolina na kukaa kwenye siti za mbelembele akiwa na bango lenye maandishi ya…
Picha za gari aina ya Bentley la Fally Ipupa baada ya kupata nalo ajali.
Msanii Fally Ipupa amepata ajali na gari lake aina ya Bentley huko Kinshasa Congo DRC ambapo mtu mwingine aliekuwa kwenye gari lingine ameumia na kukimbizwa hospitali ila Fally Ipupa hajaumia…
Wauza dawa za kulevya si wakakosea njia huko Ujerumani mpaka mzigo umekuja kutua huku
Unaambiwa kwenye mji wa Berlin huko Ujerumani kwenye supermarket tano yamepatikana mabox yaliyojaa ndizi ambamo ndani yake kulikua na dawa za kulevya zilizofichwa ambazo ni kilo mia moja arobaini. Ni…
Maduka ya Kariakoo yafungwa tena,sababu ipo hapa.
Hii ndo hali ilivyo asubuhi hii wafanyabiashara wa soko la kariakoo leo wamefunga maduka yao kama kushinikiza wafanyabiashara wenzao kuhudhuria mkutano wao ambao pia unahusisha wafanyabiashara wengine toka mikoani. Mikoa…
Sikiliza Magazeti ya leo yakisomwa Redioni
Hizi ni dakika 16 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye magazeti mbalimbali leo Jan 9 kuna taarifa nyingi,ikiwemo yule dada aliyekamatwa na madawa Airpot,kuhusu watumishi wa wizara ya maliasili na utalii waliofukuzwa…