Tag: video mpya

Kwa watu wangu wa HipHop, hii ni nyingine mpya kutoka kwa Young Jeezy, ‘Round Here’ – (Video)!

Rapper Young Jeezy anaendelea kuzisogeza single zake kutoka kwenye  mixtape yake ya…

Millard Ayo

Olamide amerudi na mdundo mpya, ‘MVP’ na video yake imenifikia – (Video)!

Baada ya kushirikiana na Davido kwenye ngoma yake mpya, msanii wa Nigeria…

Millard Ayo

Kutoka kwenye mixtape yake ya Slime Season 2, Young Thug anaileta ‘Thief in the Night’ – (Video).

Wakati single mpya ya Future 'Last Breath' ikiendelea kuweka headlines kwenye mtandao…

Millard Ayo

Video: Hii single inaweza kukupa nguvu ewe mtu wangu unaepitia magumu na kusemwasemwa.

Ni single ya Goodluck Gozbert, mwimbaji ambaye pia ni Producer na mikono…

Millard Ayo

‘Aiyola’ ya Harmonize imefanyiwa video tayari.. zitumie dakika zako 4 kuitazama. (new video)

Harmonize ni mwimbaji mwingine bongoflevani na jina lake lilianza kutajwa sana kwenye…

Millard Ayo

Ni FurahiDay na Monica anaileta kwako hii mpya; ‘Just Right For Me’ feat. Lil Wayne – (Video)!

Mara ya mwisho umemsikia Monica ilikuwa ni lini? Imepita muda kidogo toka…

Millard Ayo

Utapenda kuiona hii mpya kutoka kwa Victoria Kimani; ‘Booty Bounce’ – (Video)!

Msanii wa muziki kutoka Chocolate City, Victoria Kimani anaziandika headlines kwenye kurasa…

Millard Ayo

Young Jeezy amekuja na hii mpya; ‘Streetz’ na video yake imenifikia! – (Video).

Young Jeezy amerudi tena kuziweka headlines za burudani wiki hii, baada ya…

Millard Ayo

French Montana anataka hii nyingine ikufikie, ‘Moses’ feat. Chris Brown & Migos – (Video)!

Baada ya kuachia mixtape na Fetty Wap, msanii wa muziki wa HipHop…

Millard Ayo

Tinashe anaisambaza rasmi ngoma yake mpya ‘Player’ feat. Chris Brown – (Video)!

Baada ya kuisogeza kwetu behind the scenes ya video yake mpya, msanii…

Millard Ayo