Dakika 7 za Lulu kuhusu kutoka na Tekno wa Nigeria, na caption za Kiswahili Instagram.
Kisa kizima kimeanzia Instagram kwenye picha zilizopostiwa, mwimbaji staa wa Nigeria Tekno miles ambaye alikuja Tanzania weekend iliyopita kwa ajili ya show ndio amehusishwa kama muhusika mkuu kwenye hii ishu, kuipata…
Hii ndio kauli ya kwanza ya Rafael Benitez baada ya kufukuzwa kazi Real Madrid …
Baada ya kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez, January 6 ndio siku ambayo ameongea kauli yake ya kwanza toka atimuliwe kazi na…
TRA ya Rais Magufuli imevunja rekodi hii makusanyo ya Kodi, yale makontena je? Hii hapa yote..
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali pamoja na zile jitihada za kuhakikisha Tanzania inakuwa na makusanyo mazuri ya mapato ya Serikali imekuja na good…
Message za mapenzi zilivyoyumbisha ndoa siku ya mkesha wa mwaka mpya Dar.. (+Audio)
Timu ya 'Leo Tena' huwa ina mkusanyiko wa matukio mbalimbali ya mtaani... basi leo January 6 2016 'Hekaheka' ina stori ya mkasa wa mama mmoja ambaye siku ya mkesha wa…
Video ya Ronaldo, Bale, Ramos na wengine wa Real Madrid wakimpokea Zidane dressing room …
Real Madrid ilitangaza kumfuta kazi kocha Rafael Benitez na nafasi yake kuchukuliwa na mkongwe Zinedine Zidane, kwenye hii post hapa nimekuwekea video ya jinsi Zidane alivyowasili katika vyumba vya kubadilishia nguo vya Wachezaji wa Real…
Baada ya Future kumshambulia Ciara kwenye Twitter… kambi ya Ciara haijamuacha bure!
Mvutano kati ya Future na Ciara juu ya malezi ya mwanao, 'Baby Future' umezidi kuwa mkubwa, baada ya Future kumshambulia vikali Ciara, kambi ya Ciara haijakaa kimya wao pia wameongea…
AC Milan inamuhitaji tena Prince Boateng? haya ndio maamuzi yao..
Klabu ya AC Milan imemrudisha kiungo wao Kevin Prince Boateng kuendelea kukitumikia kikosi hicho kwa mkataba wa miezi sita ambao utaisha Juni 30, 2016. Boateng ambaye amezichezea klabu za Tottenham na…
Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video)
Bado headlines za anayetajwa kuwa kocha ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola anakwenda kufundisha klabu gani zinazidi kuchukua nafasi, tayari Pep Guardiola ametaja nchi atakayokwenda kufundisha soka baada ya kukiri…
Trey Songz anaisogeza ya kwanza kwa mwaka 2016 kwenye video: ‘Blessed’ – (Video).
Baada ya kuisogeza kwetu mixtape yake mpya 'To Whom It May Concern' December 2015, staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz anaisogeza kwetu official music video ya 'Blessed'…
Rais Obama alivyoangusha machozi baada ya kuumizwa na mauaji ya silaha.. (+Video)
Ishu ya matukio mfululizo ya mauaji Marekani yakihusishwa matumizi ya silaha yamekuwa yakitawala vichwa vya habari za Marekani na duniani.. mjadala ukaibuliwa kwamba kuna sababu zote za msingi itengenezwe sheria…