Ninazo hizi video mpya 5 za bongofleva zinazochukua headlines kwenye Youtube…
Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote kinachonifikia basi hapa ninazo video mpya 5 ambazo zinachukua headlines kwenye mtandao wa Youtube. Zifuatazo ni video mpya za bongo zilizotoka mwezi December…
Hii ndio list mpya ya wanasoka kumi wa Afrika matajiri 2015 ….
Headlines za mishahara yao mikubwa wanayolipwa katika soka najua umeshaizoea kwa sasa mtu wangu, katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na list mpya ya wanasoka matajiri barani Afrika, katika list…
Video 5 za juu kwenye chati ya RNB Trace TV ziko hapa….
Trace TV ya Ufaransa ni kituo kingine cha TV kinachoonekana Afrika kupitia huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani muziki wa kizazi cha sasa, leo…
Arsenal yaifunga Man City katika dimba la Emirates, Mesut Ozil kaendeleza rekodi yake (+Pichaz&Video)
Ligi Kuu Uingereza imeendelea usiku wa December 21 kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la Emirates, Arsenal waliikaribisha Manchester City katika dimba hilo. Huu ndio mchezo uliokuwa unavutia zaidi kuliko mechi zote…
Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka …
Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kuwa soka ndio mchezo unaopendwa na watu wengi duniani au unaweza kuita ndio mchezo maarufu sana duniani. Najua umezoea kusikia headlines za soka kila…
Video yenye magoli yote manne ya Yanga vs Stand United ninayo hapa
Kama ulikua busy na weekend iliyopita moja ya mechi zilizokupita ni pamoja na ya Yanga vs Stand United, nimekurekodia magoli yote kwenye hii video hapa chini utayaona.... https://www.youtube.com/watch?v=3v_xzvZj6TE Unataka kutumiwa…
Exclusive: Uliyokua huyajui ya Joh Makini alivyomfata A.K.A , Davido na wanaosema WEUSI wanapendelewa
Rapper Joh Makini kutoka kwenye headlines za hiphop Tanzania alikutana na reporter wako wa nguvu Millard Ayo kwenye Exclusive Interview akaongelea kolabo yake na A.K.A na jinsi alivyojihami kama A.K.A…
Baada ya hit ya ‘Duro’, mkali wa Nigeria time hii amekuja na hii nyingine…(+Audio)
Ni time ya ku enjoy single mpya iitwayo Maria kutoka kwa mkali mwenye hit single ya 'Duro' Tekno akiwa amemshirikisha Selebobo. Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza single hiyo mpya Unataka kutumiwa…
David Silva kaweka wazi wanachofikiria wachezaji wenzake kuhusu tetesi za Pep Guardiola kujiunga Man City …
Licha ya kuhusishwa kujiunga na kikosi cha Manchester United kocha wa FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola kwa asilimia kubwa anapewa nafasi ya kujiunga na kikosi cha Manchester City, kwani mambo…
Baada ya miaka 40 kupita, huyu ndio mrembo wa kwanza kuvaa Taji la Miss Iraq..
December 19 2015 warembo kutoka nchi zaidi ya 100 duniani walikutana Sanya China kwenye stage moja wakishiriki kugombea Taji la Miss World, bahati nzuri ikawa kwa watu wa Spain, mrembo…