Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio)
Staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz amerudi kwa uzito mkubwa kwenye headlines za muziki baada ya kuachia ngoma ya 'Utanipenda'. Baada ya kuachia video ya ngoma hiyo, leo December 21 2015…
Matatu ya kujua kutoka kwa Chris Brown >>> Radio na Muziki, kuitwa superstaa + Maisha ya jela!
Staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown anashikilia headlines za burudani na album yake mpya, ROYALTY. Nimekutana na interview aliyofanya Chris siku chache zilizopita na humo ndani amegusia…
Cheki na hii, Christmas ya Peru sio sherehe, ni kupigana ngumi mwanzo mwisho… (+Video)
Kila watu wana utamaduni wao, kama utamaduni wako ni kusherehekea kwa kukaa na familia yako nyumbani, basi kwingine sio hivyo... na kama umezoea kukutana na sherehe za marafiki na ndugu,…
Utata kwenye stage ya fainali za Miss Universe Marekani baada ya mshindi kukosewa.. (+Video)
Unaweza kukosea ukaomba radhi lakini watu wasiwe wepesi kukusamehe au kukuelewa kwamba umejikwaa kibinadamu... utata na kelele ziliibuka kwenye stage ya Planet Hollywood, Las Vegas Marekani saa chache zilizopita. Noma zaidi…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania Dec 21, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Magazeti ya Tanzania December 21 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 21 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Pamoja na kustaafu soka Rene Higuita bado ana uwezo wa kuokoa goli kwa style yake ya Scorpion kick (+Video)
Golikipa wa zamani wa kimataifa wa Colombia Rene Higuita ambaye amewahi kuingia katika headlines mwaka 1995 katika mechi ya kirafiki kati ya Colombia dhidi ya Uingereza kwa stahili yake ya kipekee ya…
List ya wachezaji wanaokimbia ubachela yazidi kuongezeka, baada ya Niyonzima, huyu ndio staa aliyefunga ndoa (+Pichaz)
Baada ya kuwa katika uchumba wa muda mrefu wa takribani miaka minne Christine Bleakley na kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu…
Real Madrid waibuka na ushindi wa goli 10-2 dhidi ya Rayo Vallecano, Cheki Video ya magoli (+Pichaz)
Baada ya wapinzani wao wa jadi FC Barcelona kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya River Plate ya Argentina katika fainali ya Klabu Bingwa Dunia, Real Madrid wameamishia…
H.Baba katoa tuzo zake leo…mpaka wapenzi wasio na majungu wamepata (Picha)
Msanii wa muziki H.Baba akishirikiana na mke wake Flora Mvungi leo Dec 20 Jumapili wamefunga ukame wa tuzo kwa kutoa tuzo zao baada ya kuona kila mmoja kati yao ana…