Kuelekea countdown ya birthday yake, Davido ameamua kujizawadia ndinga hii mpya! (+Pichaz)
Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido anazidi kuonyesha uwezo wake wa kuchop money kadri siku zinavyoenda... zimebaki wiki kama mbili kufikia tarehe 21 Novembeer 2015, siku ya kuzaliwa kwa Mkurugenzi…
Kama kuna hukumu za kushtua iko na hii, miaka 885 jela !! Kisa..? Stori na video yake..
Najua tumeshawahi kukutana na stori kuhusu hukumu za kifungo cha miaka kadhaa mpaka 30 jela, au wengine wanahukumiwa kifungo cha maisha baada ya kufanya makosa mbalimbali... lakini kuna hukumu ambazo…
Kama unazikubali kali za Davido, ipokee na hii nyingine mpyampya.. ‘The Money’ Feat. Olamide (Video)
David Adedeji Adeleke a.k.a Davido ni staa mwenye headlines zake za nguvu toka Nigeria..!! Ukali wake ameuthibitisha kwenye midundo mingi sana aliyofanya yeye mwenyewe na nyingine kali za collabo na…
Wasanii na matumizi yao ya pesa, haya ndio malipo ya kinyozi wake Kanye West kwa mwaka!
Siku zote rapper na Mkurugenzi wa lebo ya G.O.O.D Music, Kanye West amekuwa akionekana kama mtu mkorofi mwenye maneno mengi. Lakini wengi wetu tunaujua upande mmoja tu wa Kanye West,…
Baba wa kichina alivyodakwa na Selfie stick kwenye bafu la wanawake Beach !!
Hii ishu inamtaja raia wa China, Xia Liang mwenye umri wa miaka 36 kwamba ndio haswa mtuhumiwa wa kesi ya kuingia bafu la wanawake na selfie stick, lengo lake ni…
Hizi hapa #Tweets zilizogusa stori zote kubwa kwenye headlines za Magazeti 12 Tanzania leo..
Najua huenda kuna stori kubwa zilizobeba headlines Magazetini zimekupita, nilichokifanya ni kugusa stori zote nje na ndani ya Magazeti 12 ya Tanzania, nimeziweka kwenye #Tweets na nimezikusanya pia zote hizi…
Ni kweli Yanga imemsajili Hassan Kessy wa Simba? Haji Manara ana majibu haya …
Nyota ya beki wa pembeni wa klabu ya Simba SC Hassan Ramadhani Kessy inazidi kung'aa ikiwa ni siku kadhaa tu toka aitwe kwa mara ya kwanza katika kikosi cha timu…
Licha ya yote, Karrueche Tran ameyasema haya kuhusu Chris Brown na mahusiano..!
Model na mwigizaji wa movie Marekani, Karrueche Tran alipata umaarufu mkubwa sana baada ya ukaribu wake na msanii wa R&B Marekani Chris Brown kuweka headlines kubwa sana, na baada ya…
Beef: 50 Cent na Rick Ross wafufua beef yenye miaka zaidi ya mitano kwenye mitandao ya kijamii!
Wasanii wa muziiki wa HipHop Marekani, 50 Cent na Rick Ross wanaziandika headlines baada ya wawili hao kufufua beef ya mwaka 2009 kati yao kwenye social media... ugomvi ulianza siku…
Video: Hii single inaweza kukupa nguvu ewe mtu wangu unaepitia magumu na kusemwasemwa.
Ni single ya Goodluck Gozbert, mwimbaji ambaye pia ni Producer na mikono yake imehusika kuzisuka nyimbo kadhaa za Mo Music ikiwemo 'basi nenda' https://www.youtube.com/watch?v=rGNTRGoknc4 Unataka kutumiwa MSG za habari zote…