Baada ya kuingia katika mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi wake mwalimu kakumbana na adhabu hii..
Nchi nyingi duniani kote ikiwemo Tanzania sheria ya mtu kuvuka umri wa kuitwa mtoto, hadi afikishe umri wa miaka 18 na kuendelea ndio inaaminika kuwa ni mtu mzima, ila mtu…
Ratiba ya raundi ya 4 Capital 1 – Vigogo Man U, Chelsea, Arsenal, City kuumana na nani?
Baada ya mechi za raundi ya 3 ya michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital One kumalizika usiku huu, imetolewa ratiba ya hatua inayofauta ya michuano hiyo. Manchester United…
Nimekusogezea hapa matokeo ya Chelsea vs Wilsall na Liverpool vs Carlisle
Vigogo wengine wa England, vilabu vya Chelsea na Liverpool wakiwa kwenye viwanja tofauti nchini humo, leo walikuwa wakitafuta nafasi ya kucheza kwenye raundi ya kombe la Capital One. Chelsea wakiwa…
Fulltime ya Man Utd vs Ipswich Town – wafungaji na pichaz
Wakiwa na kumbukumbu ya kutolewa mapema na kwa aibu msimu uliopita kwenye michuano ya Capital One - wakifungwa na timu ndogo ya MK Dons, klabu ya Manchester United leo imejitupa…
Full time ya Real Madrid vs A.Bilbao na msimamo wa La Liga baada ya mechi za leo
Wakiwa hawajapoteza mchezo wowote tangu msimu ulipoanza wala kuruhusu goli hata moja kwenye ligi kuu ya Hispani - Real Madrid leo wamejitupa uwanjani kucheza dhidi ya Athletic Bilbao. Wakicheza…
Fulltime ya Arsenal vs Tottenham hii hapa (Capital One)
Michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital One yameanza leo rasmi kwa viwanja kadhaa kuwaka moto nchini Uingereza. Arsenal wakiwa nyumbani katika dimba la Emirates leo waliwakaribisha mahasimu…
Celta Vigo Vs FC Barcelona matokeo ni haya, video ya magoli na pichaz zipo hapa mtu wangu
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Hispania FC Barcelona September 23 walikaribishwa na klabu ya Celta Vigo katika uwanja wake wa nyumbani Estadio de Balaídos, ikiwa ni muendelezo wa mechi za Ligi…
Forbes wamemtaja wakala wa Cristiano Ronaldo kuwa nafasi ya pili kwa mawakala wenye nguvu ya ushawishi katika michezo
Jorge Mendes sio jina geni masikioni mwa wapenda soka wengi duniani, hususani watu wanaofuatilia soka la Ulaya katika nchi kama za Hispania, Ufaransa, Italia na Uingereza, Jorge Mendes ambaye ni wakala wa…
Soka Marekani inalipa !! Ninayo list ya mastaa wa Soka wanaowalipa vizuri, Gerrard? Kaka? Lampard je?
Tumezoea kusikia mishahara ya wachezaji soka barani Ulaya kuwa mikubwa ila wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini mastaa kadhaa kutoka Ulaya wamekuwa wakikimbilia Ligi Kuu Marekani (MLS)? wengine wanasema wanafuata mishahara…
Hii ni kwa watu wangu wa Hip Hop, Fetty Wap anaisambaza rasmi video ya “My Way” (Video).
Zimebaki siku 2 kufikia uzinduzi wa album mpya ya rapper Fetty Wap, lakini wakati tukiwa tunasubiri ujio wa album hiyo Fetty Wap anaisogeza kwetu video ya wimbo wake "My Way"…