Young Dee Feat. Ben Pol kwenye hii Video mpya ‘Do It’
Young Dee amerudi kwenye headlines za burudani na kuachia ngoma yake mpya ya 'Do It' ndani akimshikisha Ben Pol. Video imefanyika katika maeneo tofauti ya Jiji la Dar es Salaam…
Hizi ni kauli tatu za Balotelli kuhusu Liverpool na masharti aliyopewa AC Milan
Mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Mario Balotelli ambaye huwa ni kawaida kuwa katika headlines mbalimbali kutokana na tabia yake na matukio yake ambayo anafanya, August 27 kaongea sababu zilizomfanya asifanye vizuri…
Sababu ya Harmonize kuacha shule?, Mafanikio ya Nahreel kimataifa, Dodoma waja na tuzo zao..255 (Audio)
Harmonize ambaye ni zao la Diamond kutoka kundi la WCB kumbe aliamua kuacha shule akiwa kidato cha tatu..Leo amefunguka kwenye 255 na kusema aliacha kwa sababu babu yake alikua mtu wa…
Ripota na mpiga picha wake wauawa kazini wakiwa LIVE kwenye Interview…(Video)
Matukio ya raia kupigwa risasi ovyo mitaani limeendelea kuchukua nafasi kwenye headlines Marekani..Hili ni tukio lingine ambalo limetokea jana August 26 katika jiji la Virginia Marekani. Tv Ripota wa…
Gari 10 maarufu zinazomilikiwa na wachezaji Uingereza 2014, 2015 John Terry kaanza na hili (Pichaz)
Ikiwa zimepita siku kadhaa toka Ligi Kuu Uingereza ianze, mtu wangu wa nguvu nakusogeza karibu na magari 10 maarufu kwa wachezaji wa Ligi Kuu Uingereza kwa msimu uliopita 2014 .…
Hii ndio kamati mpya itakayosimamia shindano la Miss Tanzania akiwemo na Jokate Mwegelo
Najua nina watu wangu wanaopenda headline za Ma Miss sasa good news ninayotaka kukupatia ni kwamba shindano la kumsaka mrembo Miss Tanzania limerudi rasmi, na leo kulifanyika utambulisho wa kamati…
Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Omarion; ‘I’m Up’ feat. French Montana na Kid Ink. (Video)
Msanii wa R&B Omarion kwenye headlines, baada ya kudondosha audio ya 'I'm Up' wimbo aliomshirikisha French Montana na Kid Ink miezi michache iliyopita, msanii huyo wa R&B amerudi kutupa offical…
Rufaa ya MBOWE, Kampeni CHADEMA, MOI yazidiwa wagonjwa na ahadi za MAGUFULI…#StoriKubwa
MWANANCHI Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe amekata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu iliyotolewa dhidi yake Julai, mwaka huu, na kumtoza faini ya Sh1 milioni baada ya kupatikana…
Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania August 27, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Mkapa anguruma, Lowasa vizingiti kila kona, NEC yashtukia vyama vya siasa, + UKAWA yafanyiziwa! (Audio)
Kama hukuwa karibu na radio yako asubuhi hii uchambuzi wa magazeti @CloudsFM utakuwa umekupita. Zimesikika kubwa za leo kwenye vichwa vya habari baadhi zikiwa.. Vyama vya Siasa mtegoni, ratiba ya…