Video ya ‘Personally’ ya P-Square kwenye rekodi nyingine Afrika…
Kundi La P Square limeingia kwenye rekodi mpya baada ya video ya ngoma yao ya 'Personally' kufikisha views milioni 50 kupitia mtandao wa YouTube. Video hiyo iliyotoka mwaka 2013 imekuwa…
Sentesi za UKAWA baada ya LOWASSA kuzuiwa kufanya ziara mitaani..
Leo James Mbatia amezungumza na Vyombo vya habari kuhusu hatma ya uzinduzi wa kampeni zao ambazo zitafanyika August 29, Dar es salaam pamoja na mambo mengine mbalimbali ndani ya UKAWA…
Hivi ni viatu na gloves maalum Juma Kaseja katengeneza kwa ajili yake(Picha)
Golikipa mkongwe kwenye gemu la soka Tanzania Juma Kaseja, ni mchezaji wa soka wa kiwango cha juu kwa muda mrefu na baada ya kukaa nje ya lango kwa muda mrefu staa…
T.I & Young Thug washirikiana kuisogeza kwetu ‘Off-Set’ (Video).
T.I na Young Thug wanaziandika headlines za burudani kwa mara nyingine tena, baada ya kufanya kazi pamoja mwaka 2014 kwenye wimbo wa 'About the Money' time hii wanaisogeza kwetu 'Off-Set'. Kitu kizuri…
Nick Mbish na changamoto za muziki, Umoja wa Marapper wa kike, Lamar kuja na brand yake…#255 (Audio)
Kwenye zile Stori za 55 leo Nick Mbishi amesikika akisema ukiritimba umekuwa mkubwa kwenye muziki ndio maana muziki haukui,..hakuna maendeleo bila migogoro, na yeye anasema hawezi kuacha kufanya collabo na…
Sehemu ya 3 ya Hekaheka, Mama wa mtoto na shangazi wamesikika leo…(Audio)
Sehemu ya tatu ya hekaheka ya mtoto anayelelewa na dokta baada ya kuzaliwa inaendelea, leo mama wa mtoto amepatikana na kuzungumzia tukio zima. Mama wa mtoto aitwaye Irene alirudi…
MASHA apelekwa Segerea, sakata la walimu, ahadi za MAGUFULI, Kipindupindu…#StoriKubwa August26
MWANANCHI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtahadharisha mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Edward Lowassa kuwa kampeni alizoanza kwa kuyatembelea makundi kadhaa zinaweza kutumiwa na…
Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania August 26, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Tyga wiki hii; ‘Glitta’ (Video).
Tyga kwenye headlines, baada ya kuachia video mpya wiki iliyopita 'Bu$$in Out Da Bag msanii huyo wa Hip hop hana mpango wa kumpumzika, yani ni ngoma juu ya ngoma na time hii…
Taylor Swift akataa kutoa show ya billion 4.4 kwa sababu hii hapa…+ (Video).
Headlines kutoka Marekani zinaandikwa na superstaa wa muziki wa R&B Pop Taylor Swift baada ya taarifa kusambaa kuwa amepiga chini dili ya kutoa show kwenye harusi ya Billionea, dili ambalo…