#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania August 25, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Kauli ya Mkapa, Lowassa na style mpya ya kampeni, + Hofu ya mvua za El Nino DAR. (Audio)
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Jukumu langu ni kuhakikisha zile zote zinazoweka headlines magazetini kila asubuhi zinakufikia... Mgombea Urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa aanza kampeni kwa style ya kipekee kwa…
Magazeti 18 ya Tanzania August 25 2015, habari kubwa za udaku, michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Agosti 25,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Liverpool Vs Arsenal matokeo yalikuwa hivi (Pichaz & Video)
August 24 klabu ya Arsenal ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza mechi iliyochezwa katika uwanja wa Emirates wenye uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya 60,000.…
Majibu ya Ivo Mapunda kuhusu taulo lake jeupe linalo husishwa na imani za kishirikina (+Audio)
Golikipa mkongwe katika soka la Tanzania ambaye ana historia ya kucheza vilabu kadhaa Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania Ivo Mapunda amekuwa na tabia ya kuingia uwanjani na taulo jeupe…
Ulimis hotuba yote ya Magufuli kwenye siku ya kwanza ya Kampeni? ninayo video yake hapa
John Pombe Magufuli ndio amepitishwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2015, hii ni hotuba yake ya kwanza siku ya ufunguzi wa kampeni kwenye viwanja vya…
List ya Top10 ya stori zilizosikika kwenye Amplifaya ya CloudsFM Agosti 24 2015
Kama utaweza kuwasha radio yako na kujiunga na CloudsFM kila Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku utakutana na mtu wako wa nguvu Millard Ayo ambaye kazi yake ni kuzikusanya…
Sergio Aguero kapewa shukrani hizi na mtoto aliyemsaidia
Mchezaji wa kimataifa wa Argentina ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya Manchester City ya Uingereza Sergio Aguero August 23 katika mchezo wa Man City dhidi ya Everton katika Uwanja wa…
Karim Benzema anaondoka Real Madrid? hili ndio jibu lake……
Karim Benzema ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria alikuwa ana uhusishwa kuhama katika klabu yake ya sasa ya Real Madrid na kujiunga na klabu ya…
Good news mtu wangu; wimbo wa ‘Nana’ wagonga nafasi ya juu kwenye countdown ya radio Uingereza!
Siku chache zilizopita nilikusogezea good news iliyokuwa inawahusu watu wetu Navy Kenzo ambao wimbo wao wa 'Game' waliomshirikisha Vanessa Mdee ulishika #1 kwenye countdown ya radio nchini Nigeria. Licha ya…