Sikiliza alichokifanya Ben Pol kwenye wimbo wa Afro wa Les Wanyika.
Hii hutokea kwa wasanii kurudia baadhi ya nyimbo ambazo zimefanyika kipindi cha nyuma au wimbo uliowahi kupendwa zaidi,sasa hapa Ben Pol ameurudia wimbo wa Afro wa Les Wanyika ikiwa kachanganya…
Sikiliza jinsi jamaa alivyokatisha uhai wa Mama mwenye nyumba wake,kisa Radio,Mwiko,Tochi na tambi za Jiko.
Miongoni mwa Hekaheka ambazo pengine zinaweza kuingia kwenye headline ya Hekaheka za kusisimua ambayo hii imetokea Kigamboni ni baada ya mpangaji kuhama kisha baadae kurudi akiwa anadai Radio,Tambi za Jiko,Mwiko…
Pamoja na kukosa ubingwa Liverpool wazifunika Man City, Man Utd, Arsenal kifedha
Liverpool wanaweza wakawa wamekosa ubingwa wa ligi kuu ya England mbele ya Manchester City, lakini linapokuja suala la nani amekuwa bingwa kwenye msimamo wa timu zilizoingiza fedha nyingi kwenye msimu…
Tweets za Ashley Cole akitangaza kustaafu kuichezea England
Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kocha Roy Hodgson hajatangaza kikosi cha hatua ya kwanza kitakachoenda Brazil kushiriki michuano ya kombe la dunia, beki wa kimatafa wa nchi hiyo…
Zitto Kabwe amepewa cheo kipya kuziba nafasi. @ZittoKabwe
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa umoja wa kamati za mahesabu za nchi za Afrika(Afropac) ambapo muda mfupi baadae aliandika kuhusu hicho cheo kipya kwenye…
Magoli ya Juan Mata na Lambert kwenye mchezo wa jana yatazame hapa
Manchester United na Southampton jana walicheza mechi ya mwisho ya ligi kuu ya England kwenye dimba la St. Mary. Matokeo ya mchezo huo yalikuwa sare 1-1. Juan Mata aliifungia United…
Video: Manchester City ilivyotwaaa ubingwa wa England kwa mara ya pili ndani ya miaka 3
Klabu ya Manchester City jana iliweza kuandika historia nyingine kwenye ligi kuu ya England baada ya kuweza kutwaa ubingwa wa Barclays Premier League kwa kuifunga West Ham United 2-0 kwenye…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo Mei 12.
Miongoni mwa vitu ambavyo kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa unavipata ukiingia hapa millardayo.com ni pamoja na magazeti ambayo pengine kwa kukosa nafasi hukusikiliza asubuhi hapa nakuwekea kisha muda wowote ukipata nafasi…
Atletico vs Barca nani bingwa La Liga: Tazama video za mechi zao jana
Bingwa wa ligi kuu ya Hispania ataamuliwa kwenye mchezo baina ya FC Barcelona dhidi ya Atletico wikiendi ijayo. Atletico, hawajafungwa kwenye mechi tano dhidi ya Barca msimu wa 2013-14, sasa…
Video: Real Madrid walivyofungwa na Celta Vigo na kukosa ubingwa wa La Liga
Makosa ya wachezaji Xabi Alonso na Sergio Ramos yalisababisha klabu ya Real Madrid jana usiku kupoteza kabisa matumaini ya kutwaa ubingwa wa La Liga - baada ya kufungwa 2-0 na…