Dakika zako 3 unaweza kuzitumia kutazama hii video mpya ya 50 Cent
50 Cent yupo kwenye hii game kwa miaka kadhaa sasa hivi toka enzi hizo dunia inamfahamu kwa single yake ya 'In da club' ambayo nakumbuka ilivunja rekodi pia mpaka nchini…
Picha za Swizz beatz na Alicia keys huku Mashonda akishuhudia zimeleta huruma.
Alicia Keys na mume wake Swizz Beatz pamoja na mke wake wa zamani Mashonda na watoto wao walikuwa kwenye mapumziko ya kifamilia ufukweni lakini watu hawakuwaza tena starehe zao bali…
Kama ulimis Hekaheka ya leo March 25 ipo hapa.
Hii ni Hekaheka iliyotokea wiki kadhaa nyuma ambayo iliwahusisha vijana waliochukuliwa Songea wakiambiwa wanapelekwa Arusha kwa ajili kufanya kazi,ikatoka taarifa kuwa makubaliano waliyokubaliano siyo yale waliyoyakuta huko,huu ni muendelezo wake…
Sikiliza You heard ya leo inayomhusu Mtunisi wa Bongo Movie.
Hii imemtokea Mr Mtunisi wa Bongo Movie baada ya kusemekana aliigeuza Gari yake ya binafsi na kuifanya ya abiria sasa tatizo limemtokea baada ya kusemekana alimpakia dada ambaye aligoma kulipa…
Baada ya kuenguliwa kwa ‘tema mate’ kwenye tuzo za KILI, Madee amezungumza haya
Msanii Madee toka Tip Top Connection ni miongoni mwa wasanii ambao hawajaingizwa kwenye kushindania tuzo muziki Tanzania (KTMA) 2013/2014 baada ya baraza la sanaa Tanzania (BASATA) kutangaza kwamba 'tema mate…
Picha mbili za Jay Z akiwa mdogo zilizotolewa na ‘New York magazine’
Jarida la New York limepost hii kuhusu ishu mpya ya jarida hilo 'The Annual Yesteryear Issue' ambapo wameshea picha za udogoni za Jay Z na maneno ya "A Century of…
Tukio jingine la kigaidi lililoitisha Kenya leo kwenye parking ya magari.
Baada ya tukio la Westgate ambalo lilichukua maisha ya watu wengi, jiji la Nairobi limekumbwa na tishio jingine la aina hiyo kwenye eneo la biashara la Nakumatt Junction Barabara ya…
Man Utd vs Man city… ni mara ya ngapi kukutana leo? rekodi nyingine je?
Wapinzani wa jiji la Manchester kwenye soka Manchester United na Manchester City wanakutana leo katika mechi ya raundi ya ligi kuu ya England kwenye uwanja wa Old Trafford. Wakati tunaisubiria…
Alichosema Ashley Cole kuhusu tuhuma za ushoga
MAPEMA wiki iliyopita uvumi ulisambaa nchini England kwamba gazeti maarufu la The Sun lilikuwa mbioni kuchapisha stori ndefu iliyohusu kashfa ya ushoga ya mlinzi mmoja wa sasa wa kushoto wa…
Mahakama yaiagiza TFF kulipa Milion 106,kisa Yanga.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepokea amri ya Mahakama Kuu (Kitengo cha Kazi) kukamata sh. milioni 106 za klabu ya Yanga kutokana na mapato ya mlangoni kwenye mechi…