Tazama Yanga walivyokosa penati vs Azam FC March 19 2014
Ni game ambayo mwisho wa mchezo iliishia 1-1 Uwanja wa taifa Dar es salaam March 19 2014 ikiwa ni ligi kuu ya Vodacom ambapo kwenye page ya Youtube ya Vodacom…
Ripoti na matokeo ya mechi ya Yanga vs Azam hii hapa
Vilabu vya Yanga na Azam vimetoka sare ya 1-1 katika mchezo uliomalizika hivi punde katika dimba la uwanja wa taifa. Yanga ndio walioanza kuliona lango la Azam FC baada ya…
Hiki ndio kiasi cha pesa za serikali Jacob Zuma ametumia kukarabati mjengo wake
Ripoti iliyosubiriwa kwa hamu kuhusu ufisadi nchini Afrika Kusini, imemkosoa vikali Rais Jacob Zuma kwa kujinufaisha na pesa zilizotumiwa kuikarabati nyumba yake binfasi katika mkoa wa Kwazulu Natal. Ukarabati huo uligharimu…
Qatar wakanusha kununua nafasi ya kuandaa kombe la dunia 2022
Kamati ya maandalizi ya michuano ya Kombe la dunia nchini Qatar mwaka 2022 imetetea Uhalali wa mkataba wake wa kuandaa michuano ya kombe la dunia baada ya Gazeti moja kudai…
Yaliyojiri katika kesi ya Oscar Pistorius kumuua mpenzi wake
Mtaalamu wa mabomu aliyetoa ushahidi katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius, alisema kuwa mwanariadha huyo hakuwa amevaa miguu yake bandia alipompiga risasi mpenzi wake Reeva Steenkamp nchini Afrika Kusini. Ushahidi huu…
Kuhusu Robben kuongeza mkataba mpya na Bayern.
Winga wa kimataifa wa Uholanzi anayekipiga Bayern Munich Arjen Robben ameongeza mkataba wake kwa miaka miwili ambapo hii imethibitishwa na klabu yenyewe. Robben ambae alihamia Munich akitokea Real Madrid mwaka…
Fahamu alichosema kocha wa zamani wa FC Barcelona kuhusu kufundisha
Kocha wa zamani wa timu ya Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi Frank Rijkaard amechukua uamuzi ambao umewashtua watu wengi wapenda soka duniani. "Kwa namna mambo yalivyo sasa natangaza…
Zawadi Chelsea waliyompa Didier Drogba.
Gwiji wa klabu ya Chelsea Didier Drogba jana usiku alirudi nyumbani Stamford Bridge lakini akiwa anaichezea Galatasaray dhidi ya Chelsea, timu iliyochangia ujazo mkubwa sana kwenye jina lake Katika mchezo…
Hiki ndio Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Azam FC
Fahamu kikosi cha Yanga kilichotangazwa kuanza leo dhidi ya Azam FC Juma Kaseja - 29 Juma Abdul - 12 Oscar Joshua - 4 Nadir Haroub "Cannavaro" - 23 Kelvin Yondani…
Alichofanya Messi baada ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Barca
Jumamosi iliyopita Lionel Messi aliweka rekodi nyingine kubwa kwenye soka dhidi ya Osasuna aliifikia na kuipita rekodi ya magoli ya gwji wa klabu ya FC Barcelona Paulino Alcantara ambaye aliifungia Barca…