Msikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo Jan 9
Mbwiga leo kaizungumzia mechi ya mwaka 1970 mechi ambayo ilichezwa Buguruni kati ya Pulu England na Rova Fire,ni mechi iliyoteka hisia za mashabiki na iliyojawa na vituko vilivyofanywa na beki…
#Exclusive: Yaliyosemwa na Ubalozi wa Tanzania baada ya kuulizwa kuhusu Jackie Cliff kukamatwa China
Mwezi December 2013 taarifa zilitoka kwamba kuna binti wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28 aliekamatwa na dawa za kulevya huko Macao China ambapo baadhi ya taarifa zilizoripotiwa na Waandishi…
Hili ndilo basi lililochomwa moto na Wananchi Singida likiwa safarini.
Hii ni ajali ambayo imetokea njia Panda ya kwenda Arusha kama unatokea Singida, wakazi wa eneo hilo wamechoma moto basi la Mtei ambapo millardayo.com imeongea na miongoni mwa mashuhuda na…
Hekaheka ya January 9 2014, ya huyu Mwanamke mwenye stress isikilize hapa
Hehakeha ya Leo Tena Clouds FM ( 104.4 Dodoma) inafanywa na Sakina kwa sasa ikiendeleza kama kawaida ripoti za matukio ya mtaani tunamoishi kila siku, hii ni kali pia ya…
Hii hapa ni ratiba ya movie kuanzia January 10 hadi January 11.
Moja ya movie mpya zitakazoanza kuonyeshwa wiki hii ni The family na hapa kuna trailer yake unaweza kuiangalia. Pia unaweza kucheki ratiba nzima ya kuanzia kesho hadi ijumaa ya wiki…
Isikilize hapa You heard ya leo
Soud Brown leo ame-amplify biashara mpya anayoifanya Kalapina mara baada ya kukimbiwa jukwaani siku ya pambano,ni biashara ya msimu na ni ya kustaajabisha sana hasa kwa mtu kama yeye,Isikilize biashara…
Mwenyekiti wa Chadema alietekwa katoka hospitali, pichaz na alichosema.
millardayo.com : Mendeleo yako yakoje? Joseph Yona: Mendeleo yangu sasa hivi ni mazuri zaidi ni kichwa na mgongo tu vinaniuma ila tuliamua tu kwa hali ya kawaida kuondoka hospitali saa…
Hii ni ya kesho Ijumaa Dar es salaam mtu wangu! @bballkitaa @IamNchaKALIH
kwa wale ambao hawafahamu ni kwamba ni BBALL KITAA ambalo ni jukwaa la kukuza mpira wa kikapu kitaani pamoja na hip hop music. Sasa kila Ijumaa moja ya mwezi huwa…
Pale mtoto wa miaka 12 alipoitwa na Jay Z kwenye stage, akachana!
Ni mtoto wa miaka 12 anaitwa Justin Kyler ambae aliingia kwenye show ya Jay Z huko North Carolina na kukaa kwenye siti za mbelembele akiwa na bango lenye maandishi ya…
Picha za gari aina ya Bentley la Fally Ipupa baada ya kupata nalo ajali.
Msanii Fally Ipupa amepata ajali na gari lake aina ya Bentley huko Kinshasa Congo DRC ambapo mtu mwingine aliekuwa kwenye gari lingine ameumia na kukimbizwa hospitali ila Fally Ipupa hajaumia…