Mechi kati ya Liverpool v/s Bournemouth yakamilika.
Mechi kati ya Afc Bournemouth v/s Liverpool imekamilika kwa Liverpool kushinda mbili huku Afc Bournemouth ikishindwa kuzichungulia nyavu za Liverpool,kwa Liverpool magoli yamefungwa na Victor Moses pamoja na Daniel Sturridge…
Breaking News: Mata awasili jijini Manchester kufanyiwa vipimo vya afya
Mchezaji wa Juan Mata amewasili jijini Manchester katika dimba la Carrington tayari kufanyiwa vipimo na timu yake mpya ya Manchester United. Mata amejiunga na United baada ya timu hiyo kuvunja…
Anelka hatarini kufungiwa kucheza soka akipatikana na hatia ya ubaguzi
Mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Ufaransa, Nicolas Anelka, anayeichezea klabu ya Westbrom amekanusha madai ya kufanya ishara inayoaminika kuwa ya kibaguzi dhidi ya Wayahudi. Anelka amesema atapinga…
Uhakika wa taarifa za Spack aliyewahi kuwa TipTop.
Usiku wa January 23 zilianza kusambaa taarifa kuhusu Spack,taarifa hizi hazikuwa taarifa njema maana zilisema Spack kapata ajali na kufariki Dunia,millardayo.com iliamua kumpigia simu za spack lakini kwa bahati mbaya…
Hizi ndizo sababu zilizomfanya Makamua kuwa kimya.
Makamua,Q jay na Joselin waliwahi kuwa pamoja kikazi na kundi lao la Wakali kwanza ambapo baadae zilitoka taarifa za kuokoka kwa Q jay na kuachana na muziki,japo kuna taarifa ambazo…
Hii ndio headline mpya ya Jay Z na Beyonce.
Moja kati ya familia maarufu hivi sasa kwenye kiwanda cha burudani ni ya Mr and Mrs Carter ambao wote wawili wana-status kubwa kwenye muziki. Mwaka jana wote wawili walitoka na…
Mtanzania mwingine aliyewahi kutajwa na Forbes kwenye “20 young power women in Africa”.
Forbes.com wanasema kwamba listi hii ya hawa wanawake ni wenye umri mdogo lakini wanafanya mambo ambayo yanaweza kubadilisha bara la Africa. Kwenye hii list walitajwa wanawake wafanyabiashara maarufu ndani ya…
Rais Kikwete alivyoongoza mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Chalinze Ramadhan Bwanamdogo
Rais Kikwete alivyoongoza mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Chalinze Ramadhan Bwanamdogo Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya CCM Ramadhan Bwanamdogo aliyefariki…
Picha 12 za alichokifanya Diamond Kenya.
Diamond Platnumz mwishoni mwa wiki iliyopita alipost picha kadhaa zikimuonyesha akisafiri kuelekea Nairobi Kenya,zikafata picha zingine akiwa katikati ya ardhi hiyo ya President Kenyata 254 kwa picha hizi inaonyesha ni…
Tanzania ina vijiji 19200, unajua ni vingapi havina mawasiliano ya simu mpaka sasa?
Unaambiwa Tanzania kuna vijiji elfu kumi na tisa na mia mbili kwa mujibu wa sensa ya Mwaka 2012 iliyohusisha makazi na watu ambayo pia ilionyesha Watanzania ni milioni 44.9 Sasa…