Mabibi na Mabwana Quick Rocka katuletea hii single mpya ‘Queen’ isikilize hapa,…(+Audio)
Ni time ya kusikiliza hii single mpya ya msanii kutokea 87.8 Mbeya City, Quick Rocka wimbo unaitwa Queen. Nakukaribisha kwenye link hii mtu wangu, unaweza kuisikiliza kwenye link ya Mkito…
Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016
Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza…
Alikiba amejibu haya kuhusu post ya Ben Pol aliyomwandika… (#UHeard)
Hakuna maelewano mazuri kati ya Ben Pol na Alikiba? Kama ulipitia mitandaoni au ulisikia ishu ya Tweet ya Ben Pol aliyomzungumzia Alikiba na kila mtu alitafsiri kivyake. Soudy Brown akaona…
Kama umepanga kusafiri sikukuu, nina picha 20 na kinachoendelea stendi ya mabasi Ubungo
Ikiwa tuanelekea mwishoni mwa mwaka 2015, kuna mengi yanakuwa yakiendelea katika msimu huu ambapo pia baadhi ya watu hupendelea kwenda makwao kwaajili ya kuwasabahi ndugu na jamaa. Lakini hali imekuwa tofauti…
Ifahamu stori iliyomkutanisha D’Banj na Kanye West mpaka kutengenezwa kwa ‘Oliver Twist’!
Kati ya ngoma kubwa za staa wa muziki kutoka Nigeria, D'Banj huwezi kuacha kuitaja hit song ya Oliver Twist... Nimekutana na interview ya D'Banj na jarida la Forbes Africa (December…
Mwendelezo wa Hekaheka ya mama aliyetelekezwa na mume baada ya kujifungua.. (+Audio)
Hii stori ya 'Hekaheka' ilianza kusikika jana December 22 2015 ambapo mwanamke alikuwa na malalamiko ya kukimbiwa na mpenzi wake baada ya kujifungua Dar es Salaam.. kibaya zaidi ni kwamba…
Mwanamke alivyomalizia hasira kwenye gari baada ya kumfumania mpenzi wake Brazil.. (+Video)
Hii video imeenea sana mitandaoni lakini haina maelezo juu ya mazingira ya tukio lenyewe... nimefanikiwa kukipata chanzo cha habari kutoka Brazil wakiwa na stori yote ilivyokuwa mpaka mwanamke huyo kuamua…
Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje..
Kama ni mfatiliaji wa masuala ya kila kinachoendelea kwenye headlines kubwa kutoka Tanzania zilizofanikiwa kuteka zaidi siku chache zilizopita, ni ishu ya kasi ya Rais Magufuli kwenye utendaji wake huku…
Headlines za Jose Mourinho kurudi Real Madrid zilipomfikia Rais wa Madrid Fiorentino Perez alijibu hivi ….
Najua bado headlines za Jose Mourinho kuwa ataenda wapi au kuifundisha klabu gani bado zinazidi kushika kasi, je ataenda kuifundisha klabu ya Manchester United au Real Madrid kama inavyoripotiwa au…
Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio
Kwenye stori kubwa leo December 23 2015 kuna hizi kubwa zilizoguswa na uchambuzi wa redioni Clouds FM. Kamanda Kova ametangaza kupiga marufuku disco toto siku za sikukuu, atangaza Jeshi la…