Tuhuma za kubaka zilivyomkasirisha R.Kelly akakatisha interview ya TV na kuondoka…(+Video)
Staa wa muziki long time Marekani, Robert Sylvester Kelly a.k.a R. Kelly yuko kwenye hatua za mwishomwisho kuachia album yake ya Buffet, katika Interview iliyofanyika jana December 21 2015 imechukua…
VIDEO: Nay wa Mitego na ukweli wa DNA 2015, kawaongelea pia Shamsa FORD na Chagga Barbie
2015 ulikua ni mwaka wa headlines za mapenzi pia kwa staa mwingine kutoka kwenye bongofleva, Nay wa Mitego ambaye alikutwa na makubwa mpaka kuamua kwenda kufanya vipimo vya DNA ili…
Full Interview ya Diamond Platnumz: Kwanini hakutokea White party Uganda, video ya Wema Sepetu, scene iliyomuhuzunisha na mengine
Ni Interview ambayo mwimbaji Diamond Platnumz alihojiwa CloudsFM kwenye LeoTENA December 22 2015 ambapo ndani yake alizungumzia kutokutokea kwenye show ya Zari All White Party Uganda, video ya Wema Sepetu…
Issue ya wanaume kubambikiwa watoto, watakaopandisha ada, JPM afuta likizo TRA…#MAGAZETINI
MTANZANIA Abiria waliotaka kusafiri kwenda wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, nusura wachapane ngumi wakigombea foleni ya kukata tiketi katika Kituo cha mabasi ya mikoani Ubungo (UBT). Gazeti hili lilishuhudia abiria hao…
Wauza unga TZ? majibu ya DNA baba na mtoto? Maalim Seif Ikulu? Kagame na bandari TZ? Stori +Audio
Najua kuna watu wangu wanakosa time ya kusikiliza uchambuzi wa MAGAZETI redioni kila siku, uchambuzi huwa unagusa headlines kubwa kubwa zote kurasa za nje na ndani... leo December 22 2015…
Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Desemba 22, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Itazame fresh new single kutoka kwa Tiwa Savage; ‘African Waist’ feat. Don Jazzy – (Video)!
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani kwa mara nyingine tena. Album yake mpya RED ipo mtaani tayari ikiwa na ngoma nyingi kali…
Olamide karudi tena kwenye headlines na hii nyingine ‘Eyan Mayweather’…(Video)
Moja ya mastaa wanaofanya vyema katika industry ya muziki Nigeria ni pamoja na Olamide ambaye tayari nyimbo zake nyingi zikiwemo alizowashirikisha mastaa mbalimbali zimefanya vizuri. Olamide ameamua kuja na video yake…
Magazeti ya Tanzania December 22 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 22 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Sentensi za Diva kuhusu Prezzo na Diamond Platnumz kwenye interview ya Mkasi Dec 21,2015
Mtu wangu kama hukuwa karibu na TV yako kuangalia show ya Mkasi on EATV December 21, 2015 usiku hizi ni sentensi za Mtangazaji wa Clouds FM, Diva aka The Bawse kuhusu…