Diamond Platnumz kaileta video ya ‘Utanipenda’ inayosomeka kiingereza.. (+Video)
Kwa sababu muziki unatoboa mipaka kimataifa, kuna haja hata watu wetu wa Ulaya na Marekani nao wafahamu tafsiri ya kinachoimbwa ukiachana na fleva ya mdundo wenyewe. Saa chache zimepita toka…
Top 30 ya Trace Tv, Vanessa Mdee bado anakimbiza 10 za juu kawaacha Justin Bieber, Davido..(+Videos)
Dec 12 ukamilisho ya hesabu ya Top 30 za Urban Hit kutokea kituo cha kimataifa Trace Tv cha nchini Ufaransa, ambapo katika hizo nimekukusanyia Hit songs 10 za juu zilizokamata…
Picha 3 za show ya Yamoto BAND Washington DC Marekani
Yamoto Band walisafiri kwenda Marekani kwa ajili ya shows kwenye miji mbalimbali na kukutana na Watanzania waishio Marekani ambao kwa kiasi kikubwa wamekua na kiu ya kuwaona kwenye stage Yamoto ambao…
Staa wa movie Nigeria amejifungua mtoto wa tatu, alivyoambiwa hafuati ‘uzazi wa mpango’?
Staa wa movie toka Nigeria ni staa Mercy Johnson ni moja ya mastaa ambao tuliwafahamu siku nyingi sana kwa wale watu wanaofatilia movie... kwa kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba, mrembo…
Movie kali za Bongo zilizoingia kwenye Tuzo za AMVCA 2016, ya Lulu nayo ndani..
Ni kitu kizuri sana kukuta sanaa ya Tanzania inatoboa na kugusa headlines nje ya mipaka ya Tanzania, kama vile ambavyo tumeona Tuzo kadhaa za muziki zikiletwa TZ na mastaa wetu…
Utani wa Baba Levo alipokwenda nyumbani kwa Diamond Platnumz..(+Audio)
Msanii na mchekeshaji Baba Levo leo kaja na hii fix kuhusu nyumba ya msanii mwenzake Diamond Platnumz na kukuta vitu mbalimbali vilivyo mshangaza kwakuwa hajawahi vishuhudia sehemu nyingine. Bonyeza Play hapa…
Kala Jeremiah kwenye ubora wake, anakukaribisha uicheki mpya yake- ‘Malkia’ (+Video)
Rapper Kala Jeremiah ni moja ya mastaa ambao walitokea vizuri sana kupitia mikono ya mashindano ya Bongo Star Search... kajitahidi kuweza kubaki mchezoni kwa muda mrefu sana na kila mdundo…
Magazeti ya Tanzania December 12 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 12 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter…
Yaya Toure ametwaa tuzo ya mchezaji bora Afrika wa BBC 2015 na kuingia katika rekodi za Okocha na Kanu …
Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Manchester City ya Uingereza Yaya Toure alikuwa ni mmoja kati ya wachezaji watano waliokuwa wanawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika…
Pichaz 10 kutoka kwenye stage ya tamasha la Instagram Party, Ben Pol, Roma na Robelto Amarula ndani …
Headlines ya zile stori za tamasha la Instagram litakuwaje kwa mwaka 2015 zilizidi kuchukua nafasi, kuhusu mastaa gani wataperfom namna ambavyo itakuwa, muda ulifika na wasanii tukawajua baada ya list…