Pichaz 10 kutoka kwenye stage ya tamasha la Instagram Party, Ben Pol, Roma na Robelto Amarula ndani …
Headlines ya zile stori za tamasha la Instagram litakuwaje kwa mwaka 2015 zilizidi kuchukua nafasi, kuhusu mastaa gani wataperfom namna ambavyo itakuwa, muda ulifika na wasanii tukawajua baada ya list…
Makontena bandarini Dsm: nani anatafutwa na Polisi sasa hivi? TRA wamekusanya bilioni ngapi?
Ziara ya ghafla ya Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa ndio ilianzisha yote haya ambayo kwa sasa yameendelea kuchukua headlines baada ya kugundulika kwamba kuna Makontena ambayo yamekua yakipitishwa bila kulipa…
Duniani wawiliwawili ? hawa walijitokeza wamefanana na Diamond, Joti, Ngwea, Balotelli na Bruno Mars
Wakati tukiisubiria After Skul Bash ya December 12 2015 Escape One Mikocheni ambayo huwa inaandaliwa na XXL ya CloudsFM kila mwaka, nimechukua hii video ya moja ya events za After Skul bash…
Yaliyonifikia uchaguzi wa Meya Wilayani Ilemela, Mwanza leo Dec 11, 2015…(Picha $ Audio)
Leo Dec 11, 2015 halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Mwanza imeandika historia nyingine kwa kufanikisha uchaguzi wa Meya na Naibu wake ambapo Renatus Mulunga kaibuka mshindi wa Umeya huku naibu…
Mwaka mmoja baada ya kupigwa risasi kwa golikipa wa Afrika Kusini, huyu ni staa mwingine aliyeuwawa kwa risasi …
Mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta ambaye amewahi kucheza katika vilabu vya Olimpia na Rangers ya Scotland ameuwawa kwa kupigwa risasi wakati akiwa katika Parking za magari jijini La…
Kazi ya zile bilioni 4 za Dec 9 alizoagiza Rais Magufuli imefikia hapa (+video)
Kwenye siku ya Uhuru wa Tanzania kutimiza miaka 54 December 9 2015 hakukuwa na shamrasha zozote wala gwaride kama tulivyozoea kuona kwa miaka iliyopita, imekua hivi baada ya agizo la…
Headlines za mshindi wa Bongo Star Search kushoot video ya kwanza Afrika Kusini….
Headlines za Bongo Fleva leo Dec 11 zinakwenda kwa mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2015, Kayumba ambaye kwasasa amekwenda nchini Afrika Kusini kuandaa video ya single mpya lakini…
Mabibi na mabwana Diamond Platnumz kaileta hii video mpya, ndani yumo Wolper, FA, Mama Diamond, Zari na wengine
Diamond Platnumz jioni ya December 11 aliachia video yake mpya ya Utanipenda? bonyeza play kuitazama hapa chini kisha tuachie comment yako umeionaje mtu wa nguvu https://youtu.be/q9l2ItDLsUk Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa…
Waziri Mkuu alivyobebwa juujuu kutolewa nje ya Bunge la Ukraine.. (+Video)
Bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania litaanza muda sio mrefu baada ya Uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 2015 kukamilika... kuna mambo ya kujibizana kwa hoja, hiyo ni kawaida... lakini kuna…
Siku 2 baada ya Rais Magufuli kuwaongoza Watanzania kufanya usafi #Dec9, hizi ni picha 20 muonekano wa Dar Es Salaam
Headlines za uamuzi wa Rais wa awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli kutangaza kuwa maadhimisho ya siku ya Uhuru kuadhimishwa kitofauti zilichukua sana nafasi katika vyombo vya habari, Siku ya…