Video: Koffi Olomide alivyotumbuiza live Dar es salaam na ‘selfie’ Dec 8 2015.
December 8 2015 mwimbaji staa Koffi Olomide kutoka Congo DRC alifanya show ya selfie 16 kusherehekea kuzaliwa kwa CloudsFM Escape One Mikocheni Dar es salaam Tanzania, miongoni mwa nyimbo alizoimba…
Rais Magufuli kaandikwa tena na tovuti ya gazeti la Uingereza, ni kuhusu Dec 9.
Sasa hivi sio habari mpya tena kuona gazeti au mtandao wa nchi flani maarufu duniani limemuandika Rais Magufuli wa Tanzania, tayari mpaka sasa tumeshaona Magazeti ya Australia, South Africa, Zimbabwe,…
Video: JK alivyofanya usafi 9 Dec na kuwajibu wanaosema aliwahi kuagiza kontena za baadhi ya Wafanyabiashara zisilipiwe kodi
Ilikua ni Dec 9 2015 siku ya Uhuru ambapo Watanzania mbalimbali waliitumia kufanya usafi kwenye maeneo yao kama ilivyoelekezwa na Rais Magufuli, baada ya kufanya usafi Rais mstaafu Jakaya Kikwete…
Hii ndio Top 10 ya wachezaji soka maarufu katika mtandao wa Instagram duniani …
Mtandao wa kijamii wa Instagram umeanzishwa miaka mitano iliyopita ila toka kuanzishwa kwake unatajwa kuwa miongoni mwa mitandao ya kijamii inayokuwa kwa kasi zaidi duniani, huu ndio mtandao ambao maarufu…
Video: Watangazaji CloudsFM na Wasanii wa bongofleva walivyofanya usafi Dec 9 soko la Tandale.
Dec 9 2015 Wasanii wa bongofleva pamoja na Watangazaji, Watayarishaji wa vipindi na watu wengine kutoka CloudsFM Dar es salaam waliungana kufanya usafi kwenye soko la Tandale kama ilivyoagizwa na…
Kama Louis van Gaal ataondoka Man United, hii ndio list ya makocha watano wanaotajwa kurithi nafasi yake …
Klabu ya Manchester United ambayo bado inahusishwa kuwa katika kipindi kigumu cha mpito, kwani toka aondoke aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Sir Alex Ferguson kunaonekana kutokuwa na matokeo mazuri kwa…
Hawa mashabiki waliwekwa chumba kimoja na Justin Bieber bila kujua ni suprise. (suprise video)
Mwimbaji Justin Bieber ambaye sasa hivi jina lake linatajwa sana kwenye Radio na TV kutokana na hit single yake ya 'sorry' aliitwa kwenye TV show ya Ellen ambapo alitakiwa kuwa-suprise…
Hat-trick ya Giroud yaipeleka Arsenal 16 bora, Cheki matokeo ya mechi za UEFA Dec 9 na list ya 16 bora (+Pichaz&Video)
Michezo ya kuhitimisha hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imeendelea tena usiku wa December 9 kwa kupigwa mechi nane baada ya usiku wa December 8 kupigwa michezo…
Dakika 8 za Augustino Mrema kuhusu Rais Magufuli, umri wake na kesi Mahakamani
Augustino Lyatonga Mrema alikua mgombea Ubunge 2015 jimbo la Vunjo Kilimanjaro ambalo lilichukuliwa na James Mbatia wa NCCR, kwenye hii audio hapa chini ukibonyeza play utamsikiliza kila alichoongea ikiwemo kumpigia debe Dr.…
Video ya bomoabomoa ya Ubungo Dar es salaam Dec 9.
December 9 2015 ilikua ni siku ya uhuru wa Tanzania ambayo Rais John Pombe Magufuli aliamua iwe ni siku ya watu kufanya usafi kwenye maeneo ya ofisi zao, majumbani na…